Maswa Yetu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2023
- 1,398
- 2,619
Unafiki tu
ni wanafiki tu hao, wanafahamika kwa drama, wanatafuta kiki na kutaka kutake over the show kwa public sympathy 🐒Wakuu,
Leo wakiwa mahakamani, Jenerali Ulimwengu na Godbless Lema wamemwaga machozi baada ya kumuona Lissu kwa mara ya kwanza kwenye inayomkabili
Soma pia: Yanayojiri Kesi ya Lissu: Mahakama imeahirisha shauri hilo kwa siku 14 hadi 02/06/2025 na mtuhumiwa amerejeshwa rumande
Kama hafai na wewe si ukimbie tu. Wasted sperm.Anatia huruma sana, ila kayataka mwenyewe, safari hii atajifunza kuwa hayupo juu ya sheria.
Kina Mbowe, John Mrema, Salim Mwalimu, Benson Kigaila wamemkimbia....Lissu hafai.
Hana hofu yoyote, usitake kuomyesha kuwa amaeogopa. Kama mlitegemea ataogopa basi mmeukalia.Anatia huruma sana, ila kayataka mwenyewe, safari hii atajifunza kuwa hayupo juu ya sheria.
Kina Mbowe, John Mrema, Salim Mwalimu, Benson Kigaila wamemkimbia....Lissu hafai.
hatar kwakwel
Kuonyesha Furaha mahakamani nikitendo cha mtuhumiwa kuonyeshaa hana makosa ndio sababu huwa wanaeka furaha hatakama yuko na huzuni ""common sense" mahakamani sio nyumbani ukaonyeshe unyonge na machozi angali wewe ni mtuhumiwa wa kesi unayofahamu Umshikiliwa sababu za Kisiasa wala sio Sababu ya uhaini...Hapo kazi ipo yaani lisu anafurahi kweli kuwa mahakamani..
Ata wakati wa ukoloni watu kama wewe mlioshirikiana na wakoloni kukaribisha ukoloni walikuwepo. Atuwezi kuruhusu Taifa ili kuaharibika kisa mmepata mialiko na ahadi kutoka kwa WabeligjiHata wakati wa ukoloni watu kama wewe walikuepo. Kipind cha jiwe kuwa watu kama @cremia walikuepo pia. NRNE
Kwamba mkivuruga amani,uchaguzi nk ndiyo tutapata maendeleo. SAY NO TO POLITICAL VIOLENCE.Kwa gharama zote lazma tutalinda amani na uhuru wetu.Hivi Tanzania Kuna watu Wana akili kama hizi,ndio maana hatuendelei,majinga ni mengi ,ndio hata AJIRA za vijana zimeondoka
Kwanza mwenyewe Lissu alisema ni kweli kuna alufu ya uhaini na yupo tayari kufungwa... Nadhani hii ni project yake na CHADEMA pamoja na mataifa marafiki ili aweze kuingia Ikulu. PEOPLE'S POWERKuonyesha Furaha mahakamani nikitendo cha mtuhumiwa kuonyeshaa hana makosa ndio sababu huwa wanaeka furaha hatakama yuko na huzuni ""common sense" mahakamani sio nyumbani ukaonyeshe unyonge na machozi angali wewe ni mtuhumiwa wa kesi unayofahamu Umshikiliwa sababu za Kisiasa wala sio Sababu ya uhaini...
Mwanamme hutakiwi kulia mbele za watu, unatizama camera halafu unalia? shame halafu unataka kuwa kiongozi unalia. Nilisikia interview ya Evra, siku moja Nani aliumizwa na Liverpool wakakasirika kutaka kuwavaa Liver kumuona jamaa chini kalala analia, wakamwambia F... you inuka unatutia aibu kulia na likizo ya wiki akapewa. Mpaka leo hawajasahau.Wakuu,
Leo wakiwa mahakamani, Jenerali Ulimwengu na Godbless Lema wamemwaga machozi baada ya kumuona Lissu kwa mara ya kwanza kwenye inayomkabili
Soma pia: Yanayojiri Kesi ya Lissu: Mahakama imeahirisha shauri hilo kwa siku 14 hadi 02/06/2025 na mtuhumiwa amerejeshwa rumande
Alikuwa hajanogewa sahivi kanogewaChui jike ameshika hatamu!
..
Huwezi amini kama huyu ndio yule alikuwa anaimbiwa nyimbo za anaupiga mwingi
UWT tulia mimi siyo size akoZaidi ya Lema?
Haya ndugu zake Ibilisi,watu walaana .Kama MUNGU aishiivyo chiembe Lucas Mwashambwa Tlaatlaah mlaaniwe nyie na vizazi vyenu. Fedha zote za damu mnazo pata CCM ziishie kutibu magonjwa sugu kwenye familia zenuWamwachie Tu mtu mgonjwa bado ana risasi , kliniki hahudhurii kila madhira afanyiwe bila huruma , Hana jeshi, Hana silaha sio haki kabisa
ramli za lofa daima ni ushirikina mtupu gentleman. nonsense kabisaa 🐒Haya ndugu zake Ibilisi,watu walaana .Kama MUNGU aishiivyo chiembe Lucas Mwashambwa Tlaatlaah mlaaniwe nyie na vizazi vyenu. Fedha zote za damu mnazo pata CCM ziishie kutibu magonjwa sugu kwenye familia zenu
Sawa mkuu..Kwangu mm mtu ambaye hayupo uraiani huyo n mfungwa mana hana uhuru