Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,481
- 167,331
Ngoto amelia sanaJenerali kashindwa kujizuia
Ngoto amelia sanaJenerali kashindwa kujizuia
Lucas Mwashambwa njoo huku utoe ufafanuzi maana wewe ndiye mtaalamu wa hii taaluma ya kububujikwa na machozi 😂Kuna Aina ngapi za machozi .
Machozi ya kububujikwa mahakamani pale unapomwona Lisu .
Machozi yakububujikwa na kupiga magoti mbele ya picha ya mama pale janabi anaposhinda WHO.
Kuna Aina nyingine ya machozi.?
Kaka mbona ushaidi hamna mpaka sasa wa unakamata mtu Ushaidi haujakamilika unaona ni haki hiyo?Catherine Ruge kutoa mawazo yake juu ya NO REFORM NO ELECTION katupiwa virago. Leo mtu anasema tuvuruge uchaguzi,tufanye uasi na uhaini alafu nyie wabelgiji mnasema anaonewa. HAKI UPATIKANA MAHAKAMANI
C yupo mahabusu, kwan yupo huru huyoAliyekuambia yule ni mfungwa ni nani??
Home GroundHapo kazi ipo yaani lisu anafurahi kweli kuwa mahakamani..
Sema mahabusu sio mfungwa…kuna tofauti kubwa sana kati ya kitambi na mimba..avae vipi?C yupo mahabusu, kwan yupo huru huyo
Inafikirisha kwa kweli!Kwahy mfungwa anafuraha Ila waliohuru Ndo wanalia?
Kwangu mm mtu ambaye hayupo uraiani huyo n mfungwa mana hana uhuruSema mahabusu sio mfungwa…kuna tofauti kubwa sana kati ya kitambi na mimba..avae vipi?
Harikha mfumwa!!Kwangu mm mtu ambaye hayupo uraiani huyo n mfungwa mana hana uhuru
Ndio ndio mkuuHarikha mfumwa!!
Hivi Tanzania Kuna watu Wana akili kama hizi,ndio maana hatuendelei,majinga ni mengi ,ndio hata AJIRA za vijana zimeondokaCatherine Ruge kutoa mawazo yake juu ya NO REFORM NO ELECTION katupiwa virago. Leo mtu anasema tuvuruge uchaguzi,tufanye uasi na uhaini alafu nyie wabelgiji mnasema anaonewa. HAKI UPATIKANA MAHAKAMANI
Hata wakati wa ukoloni watu kama wewe walikuepo. Kipind cha jiwe kuwa watu kama @cremia walikuepo pia. NRNECatherine Ruge kutoa mawazo yake juu ya NO REFORM NO ELECTION katupiwa virago. Leo mtu anasema tuvuruge uchaguzi,tufanye uasi na uhaini alafu nyie wabelgiji mnasema anaonewa. HAKI UPATIKANA MAHAKAMANI
Zaidi ya Lema?Tuwe wakweli tunaongozwa na mashetani tupu
Ndio akili zenu. Huo ujinga peleka huko Lumumba.Anatia huruma sana, ila kayataka mwenyewe, safari hii atajifunza kuwa hayupo juu ya sheria.
Kina Mbowe, John Mrema, Salim Mwalimu, Benson Kigaila wamemkimbia....Lissu hafai.
Chui jike ameshika hatamu!Tuwe wakweli tunaongozwa na mashetani tupu
Sheria ama amri kutoka juu?Yeye Lissu atavuna alicho kipanda, ngoja sheria zifanye kazi.