Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
Tuombe MUNGUHakika😪
Tuombe MUNGUHakika😪
Mungu atusaidie sn100%
Natamani asimame yeye mwenyeweLissu kaingia na ushahidi wa maandishi pamoja reform zote za katiba ....huyu mwamba anaweza kusimama mwenyewe na akashinda kesi(kama alivyosema kibatala)
UWT tulia endelea kuishi kwa shemeji akoIla mnaotaka kuuanae ,tufanye vurugu basi nyie ni malaika eti?
Anatia huruma sana, ila kayataka mwenyewe, safari hii atajifunza kuwa hayupo juu ya sheria.Pole lisu jamani dah
CCM hatumtaki kabisa Lissu. Huyu jamaa hatikisiki. Labda tumnyonge tu. Ila akili yake ni ya hali ya Juu sana.Anatia huruma sana, ila kayataka mwenyewe, safari hii atajifunza kuwa hayupo juu ya sheria.
Kina Mbowe, John Mrema, Salim Mwalimu, Benson Kigaila wamemkimbia....Lissu hafai.
Wakati anajiona mwamba anasema yupo tayari kupambana leo anawatoa machozi, nilidhani atawafurahishaTuwe wakweli tunaongozwa na mashetani tupu
Lisu alijifanya mwamba sasa analiaAnatia huruma sana, ila kayataka mwenyewe, safari hii atajifunza kuwa hayupo juu ya sheria.
Kina Mbowe, John Mrema, Salim Mwalimu, Benson Kigaila wamemkimbia....Lissu hafai.
luka 12:57-59)Wakuu,
Leo wakiwa mahakamani, Jenerali Ulimwengu na Godbless Lema wamemwaga machozi baada ya kumuona Lissu kwa mara ya kwanza kwenye inayomkabili
Soma pia: Yanayojiri Kesi ya Lissu: Mahakama imeahirisha shauri hilo kwa siku 14 hadi 02/06/2025 na mtuhumiwa amerejeshwa rumande
Wewe tulia kwa mumeo siasa tuachie sisiWakati anajiona mwamba anasema yupo tayari kupambana leo anawatoa machozi, nilidhani atawafurahisha
USSR
Very humble and respectful 🙏Wakuu,
Leo wakiwa mahakamani, Jenerali Ulimwengu na Godbless Lema wamemwaga machozi baada ya kumuona Lissu kwa mara ya kwanza kwenye inayomkabili
Soma pia: Yanayojiri Kesi ya Lissu: Mahakama imeahirisha shauri hilo kwa siku 14 hadi 02/06/2025 na mtuhumiwa amerejeshwa rumande
Wewe utaliaLisu alijifanya mwamba sasa analia
USSR
luka 12:Pole lisu jamani dah
Wewe Kumbe ni mpumbavu Sana, CHADEMA hajafukuzwa MTU. Muage na akili kidogoCatherine Ruge kutoa mawazo yake juu ya NO REFORM NO ELECTION katupiwa virago. Leo mtu anasema tuvuruge uchaguzi,tufanye uasi na uhaini alafu nyie wabelgiji mnasema anaonewa. HAKI UPATIKANA MAHAKAMANI
Haya mambo wanawake hamwezi elewa.Wakati anajiona mwamba anasema yupo tayari kupambana leo anawatoa machozi, nilidhani atawafurahisha
USSR