Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 14,694
- 7,912
Ndio.watu wa ovyo walivyo,vibaka majambazi,wanapenda hivyoHapo kazi ipo yaani lisu anafurahi kweli kuwa mahakamani..
Ndio.watu wa ovyo walivyo,vibaka majambazi,wanapenda hivyoHapo kazi ipo yaani lisu anafurahi kweli kuwa mahakamani..
Ni kuonyesha kuwa anaamini anachofanya sio sahihi.Kuna leo na kesho mkuu😁
Kwa ulivyomuona anatia huruma? Unafahamu mtu anaetia huruma? Lissu yuko very strong and positive wewe ndio unatia huruma.Anatia huruma sana, ila kayataka mwenyewe, safari hii atajifunza kuwa hayupo juu ya sheria.
Kina Mbowe, John Mrema, Salim Mwalimu, Benson Kigaila wamemkimbia....Lissu hafai.
Hizi siasa za miaka ya 90, Wapinzani wataleta vita wewe unazihubiri leo?! Shubamittt!!!Catherine Ruge kutoa mawazo yake juu ya NO REFORM NO ELECTION katupiwa virago. Leo mtu anasema tuvuruge uchaguzi,tufanye uasi na uhaini alafu nyie wabelgiji mnasema anaonewa. HAKI UPATIKANA MAHAKAMANI
hawa mashetani hawatafika kokoteWakuu,
Leo wakiwa mahakamani, Jenerali Ulimwengu na Godbless Lema wamemwaga machozi baada ya kumuona Lissu kwa mara ya kwanza kwenye inayomkabili
Soma pia: Yanayojiri Kesi ya Lissu: Mahakama imeahirisha shauri hilo kwa siku 14 hadi 02/06/2025 na mtuhumiwa amerejeshwa rumande
Yaani we ni bishweko kweli, kwetu bishweko hutumika kufunikia chakula wakati wa kupika na baada ya mapishi bishweko hutupiliwa mbali kama takataka.Catherine Ruge kutoa mawazo yake juu ya NO REFORM NO ELECTION katupiwa virago. Leo mtu anasema tuvuruge uchaguzi,tufanye uasi na uhaini alafu nyie wabelgiji mnasema anaonewa. HAKI UPATIKANA MAHAKAMANI
Kabisa mkuuNi kuonyesha kuwa anaamini anachofanya sio sahihi.
Wewe kenge ndio unafaa?Anatia huruma sana, ila kayataka mwenyewe, safari hii atajifunza kuwa hayupo juu ya sheria.
Kina Mbowe, John Mrema, Salim Mwalimu, Benson Kigaila wamemkimbia....Lissu hafai.
Hata wew ni shetani unauwa watu wasio na hatia pale gaza 🙁🙁
Hatuna jina baya zaidi ya hilo,hivi baadhi ya waafirka wangekuwa kama wazungu,kwa ubunifu wa viwanda na mengineyo,si wangetengeza magari ya sumu au yagonge watu wasiowapenda.Hawa jamaa ni hatari huenda hata shetani anawashangaa.Tuwe wakweli tunaongozwa na mashetani tupu
He is so charming as if nothing happened, stay blessed our heroWakuu,
Leo wakiwa mahakamani, Jenerali Ulimwengu na Godbless Lema wamemwaga machozi baada ya kumuona Lissu kwa mara ya kwanza kwenye inayomkabili
Soma pia: Yanayojiri Kesi ya Lissu: Mahakama imeahirisha shauri hilo kwa siku 14 hadi 02/06/2025 na mtuhumiwa amerejeshwa rumande
Ungekuwa na akili timamu usingesema haya!Mahakama ipige marufuku mtu kuingia chumba cha mahakama akiwa kanywa konyagi kubwa
Wameamuka nazo hao kilio cha kilevi hicho
Aliyekuambia yule ni mfungwa ni nani??Kwahy mfungwa anafuraha Ila waliohuru Ndo wanalia?
Kuna mmoja alikiri hata uniform wanajinunulia wenyewe.Hao askari jela wanavyojitunisha hapo utadhani wana chochote kitu kumbe ni maskini watupu kuanzia wao koo zao mpaka wale watakaowazaa watawaacha wananuka umaskini huku wao wakiwatetea mafisadi wachache ili waendelee kufaidika na watoto zao.