Ghiti Milimo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 5,160
- 7,702
Nimeambiwa, wewe MZEE MGAYA, unasikilizwa sana huko. Hebu washauri "wenzio" waachane na hili. Sidhani kama hata ninyi, mnaamini kuwa huyu mtu anakosa, linalostahili kuwa huko aliko!Aiseee

UasiWakuu,
Leo wakiwa mahakamani, Jenerali Ulimwengu na Godbless Lema wamemwaga machozi baada ya kumuona Lissu kwa mara ya kwanza kwenye inayomkabili
Soma pia: Yanayojiri Kesi ya Lissu: Mahakama imeahirisha shauri hilo kwa siku 14 hadi 02/06/2025 na mtuhumiwa amerejeshwa rumande
Amekuwa kama kipindi cha mateso. Inauma sana mtu hana kosa. Akina yudaiskari yote yanashangaa kama mashetani.Wakuu,
Leo wakiwa mahakamani, Jenerali Ulimwengu na Godbless Lema wamemwaga machozi baada ya kumuona Lissu kwa mara ya kwanza kwenye inayomkabili
Soma pia: Yanayojiri Kesi ya Lissu: Mahakama imeahirisha shauri hilo kwa siku 14 hadi 02/06/2025 na mtuhumiwa amerejeshwa rumande
Ongeza neno hapa mkuuu..Aiseee
Samahani naomba kuuliza,hivi hao walioficha nyuso zao ndo akina nani? mbona maaskari wenzao nyuso zao zinaonekana? ina maana jeshi la magereza limeanza kuajili watu kutoka hamasi?Wakuu,
Leo wakiwa mahakamani, Jenerali Ulimwengu na Godbless Lema wamemwaga machozi baada ya kumuona Lissu kwa mara ya kwanza kwenye inayomkabili
Soma pia: Yanayojiri Kesi ya Lissu: Mahakama imeahirisha shauri hilo kwa siku 14 hadi 02/06/2025 na mtuhumiwa amerejeshwa rumande
Duuh The Man is so soo Strong kuliko hata waliokwenda kushuhudia kesi..Wakuu,
Leo wakiwa mahakamani, Jenerali Ulimwengu na Godbless Lema wamemwaga machozi baada ya kumuona Lissu kwa mara ya kwanza kwenye inayomkabili
Soma pia: Yanayojiri Kesi ya Lissu: Mahakama imeahirisha shauri hilo kwa siku 14 hadi 02/06/2025 na mtuhumiwa amerejeshwa rumande
Hapo kazi ipo yaani lisu anafurahi
Mahabusu wote huwa wanafurahi wakija mahakamani, Gerezani kunachosha asikuambie mtu!!Hapo kazi ipo yaani lisu anafurahi kweli kuwa mahakamani..
Nilimsikia msemaji mmoja akisema kuwaLeo wakiwa mahakamani, Jenerali Ulimwengu na Godbless Lema wamemwaga machozi baada ya kumuona Lissu kwa mara ya kwanza kwenye inayomkabili
Umesema sahihi Mkuu, Askari Magereza nao huwa ni kama mahabusu/wafungwa tu maana nao hushinda kule kuleMahabusu wote huwa wanafurahi wakija mahakamani, Gerezani kunachosha asikuambie mtu!!
Inaumiza snJenerali kashindwa kujizuia
Wengi tu wameliaWakuu,
Leo wakiwa mahakamani, Jenerali Ulimwengu na Godbless Lema wamemwaga machozi baada ya kumuona Lissu kwa mara ya kwanza kwenye inayomkabili
Soma pia: Yanayojiri Kesi ya Lissu: Mahakama imeahirisha shauri hilo kwa siku 14 hadi 02/06/2025 na mtuhumiwa amerejeshwa rumande
Hakika hili lisagaji hata likiiba uchaguzi litaishia kufa kibudu kabla ya kumaliza miaka 5 yuko wapi yule mwendakuzimu aliyekuwa akitamba!Yana mwisho haya na mwisho huwa mbaya sana kwa waonevu. Mungu hapendi haya.
Yeye Lissu atavuna alicho kipanda, ngoja sheria zifanye kazi.
Wazazi wa shetaniTuwe wakweli tunaongozwa na mashetani tupu
This guy (Tundu Lissu) is very exceptional..Wakuu,
Leo wakiwa mahakamani, Jenerali Ulimwengu na Godbless Lema wamemwaga machozi baada ya kumuona Lissu kwa mara ya kwanza kwenye inayomkabili
Soma pia: Yanayojiri Kesi ya Lissu: Mahakama imeahirisha shauri hilo kwa siku 14 hadi 02/06/2025 na mtuhumiwa amerejeshwa rumande
Mgonjwa ni wewe...Wamwachie Tu mtu mgonjwa bado ana risasi , kliniki hahudhurii kila madhira afanyiwe bila huruma , Hana jeshi, Hana silaha sio haki kabisa
Hovyo kabisaWazazi wa shetani