LISU kayataka mwenyewe ndio unaweza sema bila kigugumiz au pengine lisu anatatizo seem anapaswa kujitibu au kutibiwa kwa faida ya Watanzania sote???
Hofu yangu mm Lisu uyu sio yule tuliekuwa tunamjua Sababu izi pengine zimechangia madawa mengi kichwani kawa kama Robot
Sidhani kama robot lina Shuklan!!!!!!!!
Embu ona Rais Samia ni yeye pekeee alikwenda kumuona Lisu baada ya majanga ya Risasi Dodoma na kupelekwa Nairobi ktk Serikali ya JPM !!!!!
Rais Samia niyeye pekee pia baada ya kuwa Rais alikwenda Ubelgiji kumwano tena Lisu na kumwambia kakayangu njoo nyumbani Sasa ni Salama kwako na kweli Lisu alikuja.!!!!
Tatizo apa Rais wetu akujua Moyo wa kifedhuli wa uyo Lisu mpya!!!!
pengine Rais wetu alidhani kuwa ni yule yule kabla naa Baada ya matibabui !!
Lisu alipokuja Tanzania akukamatwa akutishwa na yoyote kesi zake Rais wetu Kapambana zifutwe zote awe Freeeeeeeee
pesa zake za Ubunge akalipwa zote adi kiinua mgongo !!!!!
nawambia na kujiapiza Lisu akipata U Rais nchi yangu hiii watu watakimbia wengi sana adi wale wanaotoa machozi leo pale Mahakamani !!!!
Kwanini wasikimbie ikiwa Lisu ni mtu asie na Shuklan kwa yoyote unayomfanyia ww unamuonea uruma yeye ayupo naww kujua unamuonea Uruma akili yake pengine inawaza unamcheka ujinga mana matokea yake sio rafiki kabisa Kwako!!!!
WATANZANIA tumeona RAIS wetu akisakamwa kuwa eti Mzanzibari DP World ana uchungu na Tanganyika maneno mengine ni kama matusi kwa Rais wetu.. !!!!
WATANZANIA naamin wamejiuliza kwa Lisu imekuaje tena na Serikali ya RAIS SAMIA mbona sisi tulidhani Lisu atatulia km Watanzania wengine ili
wayajenge na RAIS SAMIA wetu kwaajili ya mustakbali wetu kwa pamoja!!
Wakati bado tumepigwa na kutwaa kuona Lisu akimsakama RAIS SAMIA tukaja kupigwa butwaa upya kumuusu Mzee Mbowe !!!
kiongozi wake wa Chama cha Upinzani aliemfadhiri kuliko kiongozi Mwengine yoyote Mzee Mbowe aliatalisha maisha yake kwenye Ndege wkt wanamkimbiza Lisu Nairobi !!!!
Mzee Mbowe ndio alishika Drip njiani na mwenzie Msigwa kwaiyo Mzee Mbowe katumia pesa zake kwaajili ya Lisu lkn pia kaatalisha maisha yake kwaajili Lisu !!!
jikumbushe jinsi Lisu alivopambana na Mzee Mbowe kwenye Uchaguzi na alakat za Uchaguzi ndani ya Chama!!!
mpaka leo Mzee Mbowe kuongea kuusu Lisu anashindwa anaona kama ni mzimu ndio upo Hai yumkin Lisu OG pengine alishatambaaa!!!
Sasa ww na machozi yako ya Samaki ndio utegemee Lisu atakusamini Watanzania kila mmoja wetu tufanye juudi kuakikisha huu Mzimu unaoitwa Lisu unatulia kimya seem Salama ukila pesa za kodi zetu !!!
lkn tusitoe Saport yoyote kwaajili kumfanya Lisu awe Rais matendo yake aya yatutoshe kujua uyu ni mtu wa aina gani atakuwa uko mbele akishauvaa Urais !!
nitaendelea kufanya kazi kwabidii ili kulipa kodi kwa wkt inayoiwezesha Serikali kumdhibiti na kumtunza mh Lisu seem Salama kwafaida yetu sote
WATANZANIA
Niwatakie Siku njema wapenda Amani wote..