Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
TunaKupitia hafla ya kuwatunuku maofisa wa jeshi nishani za miaka 60 ya Uhuru muda mchache uliopita hapo Ikulu nimebaini Jenerali Venance Mabeyo ni mmoja wa wazalendo wa kweli kuwahi kutokea jeshini na serikalini kwa ujumla.
Jenerali Mabeyo amezaliwa Julai Mosi mwaka 1955 huko wilayani Magu na kwasasa ana miaka 65 na bado anaendelea kuliongoza jeshi vizuri!!
Amelitumikia JWTZ kwa miaka 41 sasa katika nafasi mbalimbali ikiwemo Mkuu wa Ujasusi jeshini pamoja na Mnadhimu Mkuu kabla ya kupandishwa cheo na kuwa Mkuu wa Majeshi mwaka 2017! Itoshe kusema tu Jenerali Mabeyo ana CV kubwa jeshini na mzalendo kwelikweli
Acha kuchafua viongozi. Una ushahidi?Huo uzalendo unaupimaje ? Ni hiyo CV au.. mbona hao ndo wapigaji wakubwa wa pesa za umma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni yale mataahira ya pale ufipa tu ndio yalikuwa yanamuita sukuma gangNi heshima kubwa sana kwa Nchi yetu kuwa na Watanzania Wazalendo kwa Nchi yetu.
Sote tutangulize mbele uzalendo
Hao nishani walishapewa za kutosha.Wale waliovuka mto kagera kwenda kulitetea Taifa dhidi ya mhuni Amin wenyewe sio wazalendo....Msuguri, Mwita Kyaro, Waitara, Mayunga hawa sio Wazalendo au sio....
Kupitia hafla ya kuwatunuku maofisa wa jeshi nishani za miaka 60 ya Uhuru muda mchache uliopita hapo Ikulu nimebaini Jenerali Venance Mabeyo ni mmoja wa wazalendo wa kweli kuwahi kutokea jeshini na serikalini kwa ujumla.
Jenerali Mabeyo amezaliwa Julai Mosi mwaka 1955 huko wilayani Magu na kwasasa ana miaka 65 na bado anaendelea kuliongoza jeshi vizuri!!
Amelitumikia JWTZ kwa miaka 41 sasa katika nafasi mbalimbali ikiwemo Mkuu wa Ujasusi jeshini pamoja na Mnadhimu Mkuu kabla ya kupandishwa cheo na kuwa Mkuu wa Majeshi mwaka 2017! Itoshe kusema tu Jenerali Mabeyo ana CV kubwa jeshini na mzalendo kwelikweli
..anatakiwa astaafu.
Mleta Uzi ,sema ana CV nyingi hasa kozi alizohudhulia ukisema uzalendo unafeli Kwa asilimia zero labda haujui maana ya uzalendoKupitia hafla ya kuwatunuku maofisa wa jeshi nishani za miaka 60 ya Uhuru muda mchache uliopita hapo Ikulu nimebaini Jenerali Venance Mabeyo ni mmoja wa wazalendo wa kweli kuwahi kutokea jeshini na serikalini kwa ujumla.
Jenerali Mabeyo amezaliwa Julai Mosi mwaka 1955 huko wilayani Magu na kwasasa ana miaka 65 na bado anaendelea kuliongoza jeshi vizuri!!
Amelitumikia JWTZ kwa miaka 41 sasa katika nafasi mbalimbali ikiwemo Mkuu wa Ujasusi jeshini pamoja na Mnadhimu Mkuu kabla ya kupandishwa cheo na kuwa Mkuu wa Majeshi mwaka 2017! Itoshe kusema tu Jenerali Mabeyo ana CV kubwa jeshini na mzalendo kwelikweli
Kwa lipi sasa? Mbona unaandika vitu shallow Sana!Kupitia hafla ya kuwatunuku maofisa wa jeshi nishani za miaka 60 ya Uhuru muda mchache uliopita hapo Ikulu nimebaini Jenerali Venance Mabeyo ni mmoja wa wazalendo wa kweli kuwahi kutokea jeshini na serikalini kwa ujumla.