Jenerali Venance Mabeyo miongoni mwa Wazalendo wachache kuwahi kutokea jeshini

Jiwe alikuwa na mchezo mchafu sana.

Wale waliokuwa kinyume naye walistaafishwa mapema sana ila huyu alikuwa ni swahiba wake.

Kwenye ile bilioni 71 ya msaada tunayoelezwa ilijenga njia 2 za Morocco-Mwenge, huyu hawezi kukosekana kwenye ufalme huo.
..🤣🤣

..waziwazi bila aibu.

..Davis Mwamunyange kazaliwa 1959.

..Venance Mabeyo ni wa 1955.
 
Kama kipimo mojawapo ya uzalendo ni kutii ... watawala basi hanastahili kuwa mzalendo..
But if patriotism is fighting against...uozo wa madaraka bado ajawa mzalendoo
 
..[emoji1787][emoji1787]

..waziwazi bila aibu.

..Davis Mwamunyange kazaliwa 1959.

..Venance Mabeyo ni wa 1955.
Huo ndio ukweli, Jiwe aliwakumbatia maswahiba zake.

Na washatupiga parefu sana ila tukaokolewa na Muumba
 
Kupitia hafla ya kuwatunuku maofisa wa jeshi nishani za miaka 60 ya Uhuru muda mchache uliopita hapo Ikulu nimebaini Jenerali Venance Mabeyo ni mmoja wa wazalendo wa kweli kuwahi kutokea jeshini na serikalini kwa ujumla.

Jenerali Mabeyo amezaliwa Julai Mosi mwaka 1955 huko wilayani Magu na kwasasa ana miaka 65 na bado anaendelea kuliongoza jeshi vizuri!!

Amelitumikia JWTZ kwa miaka 41 sasa katika nafasi mbalimbali ikiwemo Mkuu wa Ujasusi jeshini pamoja na Mnadhimu Mkuu kabla ya kupandishwa cheo na kuwa Mkuu wa Majeshi mwaka 2017! Itoshe kusema tu Jenerali Mabeyo ana CV kubwa jeshini na mzalendo kwelikweli

Wakati mwingine napata shida sana kuelewa maana ya Uzalendo.
 
..🤣🤣

..waziwazi bila aibu.

..Davis Mwamunyange kazaliwa 1959.

..Venance Mabeyo ni wa 1955.

Ninashangaa hata wewe unaweza kushuka so low kama wapumbavu hawa tunaowajua.

Ukabila ndio unakufanya uwe hivyo?

Huoni mchango wake, Magaidi Msumbiji wawethibitiwa, mapema , asubuhi, bila kelele.
 
Na Siro vipi?
Sirro ni mzaliwa wa mwaka 1965 katika wilaya ya Butiama mkoani Mara, alijiunga na jeshi la polisi mwaka 1993

Ndani ya Jeshi la Polisi ameshika nyadhifa mbalimbali kama vile RCO wa Shinyanga mjini na baadae kuwa RPC wa Mkoa huo!

Vilevile alishawahi kuwa RPC wa Tanga, Mwanza na Dar na Mkuu wa Operesheni Maalum za Jeshi la Polisi

Elimi yake ni shahada ya sheria aliyoipata mwaka 2006 kupitia Open University
 
Kupitia hafla ya kuwatunuku maofisa wa jeshi nishani za miaka 60 ya Uhuru muda mchache uliopita hapo Ikulu nimebaini Jenerali Venance Mabeyo ni mmoja wa wazalendo wa kweli kuwahi kutokea jeshini na serikalini kwa ujumla.

Jenerali Mabeyo amezaliwa Julai Mosi mwaka 1955 huko wilayani Magu na kwasasa ana miaka 65 na bado anaendelea kuliongoza jeshi vizuri!!

Amelitumikia JWTZ kwa miaka 41 sasa katika nafasi mbalimbali ikiwemo Mkuu wa Ujasusi jeshini pamoja na Mnadhimu Mkuu kabla ya kupandishwa cheo na kuwa Mkuu wa Majeshi mwaka 2017! Itoshe kusema tu Jenerali Mabeyo ana CV kubwa jeshini na mzalendo kwelikweli
Miaka 65 anafanya nini ofisini?
 
Ninashangaa hata wewe unaweza kushuka so low kama wapumbavu hawa tunaowajua.

Ukabila ndio unakufanya uwe hivyo?

Huoni mchango wake, Magaidi Msumbiji wawethibitiwa, mapema , asubuhi, bila kelele.
..kwani asingekuwepo yeye tungeshindwa kupambana na hao wahuni?
 
Kupitia hafla ya kuwatunuku maofisa wa jeshi nishani za miaka 60 ya Uhuru muda mchache uliopita hapo Ikulu nimebaini Jenerali Venance Mabeyo ni mmoja wa wazalendo wa kweli kuwahi kutokea jeshini na serikalini kwa ujumla.

Jenerali Mabeyo amezaliwa Julai Mosi mwaka 1955 huko wilayani Magu na kwasasa ana miaka 65 na bado anaendelea kuliongoza jeshi vizuri!!

Amelitumikia JWTZ kwa miaka 41 sasa katika nafasi mbalimbali ikiwemo Mkuu wa Ujasusi jeshini pamoja na Mnadhimu Mkuu kabla ya kupandishwa cheo na kuwa Mkuu wa Majeshi mwaka 2017! Itoshe kusema tu Jenerali Mabeyo ana CV kubwa jeshini na mzalendo kwelikweli
Kupitia hafla ya kuwatunuku maofisa wa jeshi nishani za miaka 60 ya Uhuru muda mchache uliopita hapo Ikulu nimebaini Jenerali Venance Mabeyo ni mmoja wa wazalendo wa kweli kuwahi kutokea jeshini na serikalini kwa ujumla.

Jenerali Mabeyo amezaliwa Julai Mosi mwaka 1955 huko wilayani Magu na kwasasa ana miaka 65 na bado anaendelea kuliongoza jeshi vizuri!!

Amelitumikia JWTZ kwa miaka 41 sasa katika nafasi mbalimbali ikiwemo Mkuu wa Ujasusi jeshini pamoja na Mnadhimu Mkuu kabla ya kupandishwa cheo na kuwa Mkuu wa Majeshi mwaka 2017! Itoshe kusema tu Jenerali Mabeyo ana CV kubwa jeshini na mzalendo kwelikweli
The so called cv
tia hafla ya kuwatunuku maofisa wa jeshi nishani za miaka 60 ya Uhuru muda mchache uliopita hapo Ikulu nimebaini Jenerali Venance Mabeyo ni mmoja wa wazalendo wa kweli kuwahi kutokea jeshini na serikalini kwa ujumla.

Jenerali Mabeyo amezaliwa Julai Mosi mwaka 1955 huko wilayani Magu na kwasasa ana miaka 65 na bado anaendelea kuliongoza jeshi vizuri!!

Amelitumikia JWTZ kwa miaka 41 sasa katika nafasi mbalimbali ikiwemo Mkuu wa Ujasusi jeshini pamoja na Mnadhimu Mkuu kabla ya kupandishwa cheo na kuwa Mkuu wa Majeshi mwaka 2017! Itoshe kusema tu Jenerali Mabeyo ana CV kubwa jeshini na mzalendo kwelikweli

Sawa mkuu, ebu orodhesha vigezo ulivyo tumia kupima huo uzalendo kwanza...🍺
Aweke na hako anakokaita ka cv ka General Mabeyo
 
..kwani asingekuwepo yeye tungeshindwa kupambana na hao wahuni?

Vipi kutuvusha kwa amani, utulivu kutoka kwenye kifo cha ghafla cha JPM, kumsaidia na kumlinda SSH kusimama. Unaona ni kazi ndogo, Siyo?
 
Back
Top Bottom