Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Barakoa hizi bwana, yaani zimeondoa utamu wote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Barakoa hizi bwana, yaani zimeondoa utamu wote.
Hata kama hakuna mwenye vigezo?Ili muungano ukamilike kwa kumteua mzenj kuwa CDF? DANGEROUS!!
Hata kama hakuna mwenye vigezo?
Haiwezekani huwezi kuwa CDF kama huna sifa zilizowekwaHapo ndipo kwenye mtihani kwa deep state!! Wasirogwe wakifanya michezo na JWTZ watakuwa wanachezea Simba sharubu!!!
Chanjo inadunda huko sembuse barakoa?Barakoa hizi bwana, yaani zimeondoa utamu wote.
Haiwezekani huwezi kuwa CDF kama huna sifa zilizowekwa
Huyu kesi ya Ugaidi imemshusha sanaNa Siro vipi?
Yule alikuwa msanii.Yule tuliyemwita mzalendo kwa kuona anaokoa fedha za walipa kodi kumbe ujanja mtupu wakucheza na akili za watanzania.
Ili muungano ukamilike kwa kumteua mzenj kuwa CDF? DANGEROUS!!
Pia amelitmikia kanisa katoliki vizuri mpaka papa katambua mchango wake!Kupitia hafla ya kuwatunuku maofisa wa jeshi nishani za miaka 60 ya Uhuru muda mchache uliopita hapo Ikulu nimebaini Jenerali Venance Mabeyo ni mmoja wa wazalendo wa kweli kuwahi kutokea jeshini na serikalini kwa ujumla.
Jenerali Mabeyo amezaliwa Julai Mosi mwaka 1955 huko wilayani Magu na kwasasa ana miaka 65 na bado anaendelea kuliongoza jeshi vizuri!!
Amelitumikia JWTZ kwa miaka 41 sasa katika nafasi mbalimbali ikiwemo Mkuu wa Ujasusi jeshini pamoja na Mnadhimu Mkuu kabla ya kupandishwa cheo na kuwa Mkuu wa Majeshi mwaka 2017! Itoshe kusema tu Jenerali Mabeyo ana CV kubwa jeshini na mzalendo kwelikweli
Ushahamisha magoliSijui kama wana akili hiyo!! Huoni jinsi Luoga alivyozawadiwa kuwa Gavana wa BOT na unaona mfumuko wa bei unavyoumiza watu kwasababu ya TOZO zao zisizokuwa na msingi!!!
Hadi Kimei kakiri jamaa ni wapiga magendo sanaWasukuma wote ni wazalendo ila wachaga ni wezi sana
Usije ukashangae akija kupewa ubalozi badala ya kustaafu..anatakiwa astaafu.
Atuambie Kwanza Nani alimpiga risasi LissuKupitia hafla ya kuwatunuku maofisa wa jeshi nishani za miaka 60 ya Uhuru muda mchache uliopita hapo Ikulu nimebaini Jenerali Venance Mabeyo ni mmoja wa wazalendo wa kweli kuwahi kutokea jeshini na serikalini kwa ujumla.
Jenerali Mabeyo amezaliwa Julai Mosi mwaka 1955 huko wilayani Magu na kwasasa ana miaka 65 na bado anaendelea kuliongoza jeshi vizuri!!
Amelitumikia JWTZ kwa miaka 41 sasa katika nafasi mbalimbali ikiwemo Mkuu wa Ujasusi jeshini pamoja na Mnadhimu Mkuu kabla ya kupandishwa cheo na kuwa Mkuu wa Majeshi mwaka 2017! Itoshe kusema tu Jenerali Mabeyo ana CV kubwa jeshini na mzalendo kwelikweli
Nafikiri kila kiongozi anatoa nishani bila ili aonekane kuwa katoa hata kama nishani zilezile zishatolewa mara nyingi na waliomtanguliaHao nishani walishapewa za kutosha.
Usije ukashangae akija kupewa ubalozi badala ya kustaafu
Jiwe alikuwa na mchezo mchafu sana...wakati anateuliwa kuwa CoS ndio mwaka aliotakiwa astaafu.