Jenerali Venance Mabeyo miongoni mwa Wazalendo wachache kuwahi kutokea jeshini

Hata kama hakuna mwenye vigezo?
Wanakosa vigeo kwa sababu ya uzanzibari au? Haiwezekani tuwe na amiri jeshi mkuu mwenye vigezo vyote kutoka Zanzibar afu akosekane mwanajeshi kutoka huko kwenye senior level jeshini. Haiwezekani. Wacha ubaguzi wa waziwazi.
 
Watu kama wanafanya kazi vizuri hakuna haja ya kustaafu mapema.

Halafu wakistaafu wape kazi za kuwa mentor kwa vijana. Watu kama Elon Musk, Nyerere, Warioba ni muhimu hekima zao wawape vijana.
 
Wakati ule alimwambia Mh. Rais kuja jambo atamwambia nafikiri mtoa mada amesimamia hapo.....
#AkiliZaJioniDukaniKwaMangi🍻
 
Kwani mkuu yupi wa majeshi ambaye hajawa mzalendo? je wale majenerali waliopigana uganda hawakuwa wazalendo? acha sifa za kijinga kama una lingine sema tu hapa.
 
Kiukweli naungana na wewe mkuu.

Baada ya msiba wa mzee wa chato niljua Mabeyo lazima akabidhi nchi kwa Sukuma Gang!

He deserves more respect!
Mkuu wa jeshi hana mamlaka ya kukabidhi nchi, acha kujidanganya...
 
Rais alitumia mamlaka yake akamuongezea muda kama alivyofanyiwa mtangulizi wake Mwamunyange!!!!

. Mtumishi mmoja anastaafu kwa mujibu wa sheria, halafu nafasi yake inajazwa na mwingine aliyefikisha umri wa kustaafu??

..hicho ndicho nilichokiona mimi. Kama nimekosea niko tayari kurekebishwa.
 
Wale waliovuka mto kagera kwenda kulitetea Taifa dhidi ya mhuni Amin wenyewe sio wazalendo. Msuguri, Mwita Kyaro, Waitara, Mayunga hawa sio Wazalendo, au sio?
Anzisha thread zao. Hii ni ya Mabeyo
 
Kama nimekosea niko tayari kurekebishwa.

Hujakosea mkuu, wakati Mwamunyange anaondoka kama CDF Mabeyo alikuwa ndio Chief of staff. Hao ndio watu wawili waliokuwa vinara wa jeshi; hivyo ingawa Mabeyo alifikisha umri wa kustaafu wakati huo nadhani ilionekana kuwa haikuwa busara vinara wawili wa Jeshi wote kuondoka wakati mmoja ndipo Mabeyo akapewa kuwa CDF.
 

. Mbona kabla yao walikuwa akiondoka vinara wawili, wanaingia wengine wawili?

..Au watangulizi walikuwa hawana busara?

..Hivi hakuwa CoS wakati ameshafikisha umri wa kustaafu?
 
Mbona kabla yao walikuwa akiondoka vinara wawili, wanaingia wengine wawili?

Ni kweli huko nyuma iliwezekana lakini ukumbuke wakati ule hali ya kisiasa nchini ilikuwa tofauti na ilivyokuwa Jiwe alipoingia madarakani!!! It was his prerogative to appoint a commander in chief of his choice and he zeroed on his tribesman Mabeyo!!
 
Uzalendo ni jukumu lake sa szan km kuna haja ya kusifia kla ktu vingne vi vtu vya hovyo kusifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…