Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuanzia June ndo nahitaji hiyo huduma mkuu ntakucheki
MamaNa nitakutafuta. Hebu nambie unadhani mpaka kukamilika kwq hii kitu nahitaji kuwa na kiasi gani?
MAMANa naomba nitumie hiyo package ya green house tsh.2.5m ina jumuisha vitu gani ili mimi nijiandae kwa vitu gani? pia ninaeneo lingine nataka kuweka driplines pekee, ekari1 nimefuatilia balton na kwingine wanauza zaidi ya 2.5m kwa ekari drip lines, kwako naweza kupata driplines pekee kwa gharama gani, pia naomba nitumie hizi details kwenye email yangu genesis1748@gmail.com
Karibu sana. Ni teknolojia ambayo imeleta mabadiliko makubwa sana katika ukulima, kwa kutumia eneo dogo sana, maji kidogo, nguvu kidogo (hata mtu mmoja anaweza kuimanage akipata proper training, na mafanikio makubwa sana katika mavuno kwani unalima kwenda angani (juu) hadi mita tatu.niliwahi kuisikia hii technolojia lakini leo ndio nimepata picha kamili.. Interesting !!
Karibu sana. Ni teknolojia ambayo imeleta mabadiliko makubwa sana katika ukulima, kwa kutumia eneo dogo sana, maji kidogo, nguvu kidogo (hata mtu mmoja anaweza kuimanage akipata proper training, na mafanikio makubwa sana katika mavuno kwani unalima kwenda angani (juu) hadi mita tatu.
Unahitaji kuwa na Shilingi 3,500,000 tu, Greenhouse yako itakuwa fully functional, na training unapewa.
MamaNa na mie naomba hizo details kwenye email yangu, lakini pia ningependa kama upo Dar upite unikague kwanza kama eneo langu linaweza kuwa suitable for the purpose !!
mmassoudy@gmail.com
Mmmh basi itakuwa nusu ya bei ya Balton. Walinitumia quotation ya almost 7M. Aisee lazima nikutafute.
Nimeshakutumia Ndugu, karibu sana.
Karibu sana, ndio maana nikatangaza kwamba unajenga kwa gharama nafuu, nikimaanisha zaidi ya nusu ya bei ya mshindani. Pia za kwao ni Doom shaped, zina disadvantage kubwa sana, kwani inabidi uweke poles nyingi kwa ajili ya kuning'inizia mimea yako, na matuta manne ya pembeni yanakuwa karibu sana na poly cover kitu ambacho kinasababisha mazao kuungua kama yapo katika ukanda wa pwani au maeneo yenye jua kali...Kwa ushahidi tu, nenda Balton waambie wakupe namba ya mtu yoyote aliyefunga halaf mtembelee ujionee jinsi gani greenhouse zao zinawaangusha wakulima wa maeneo yenye kiangazi kirefu....(Huwa wanatoa namba, ni wewe tu kujua kujielezea), Act kama unataka kuona live/ demo site uongee na mteja kabla hujafanya maamuzi...
Katika greenhouse ya 8m x 15m utapanda miche 580 ya nyanya au pilipili hoho au biringanya au matango au nyanya chungu au bamia na mazao mengine mengi ambayo yanahitaji kulimwa kwa uangalifu namna hiyo.Sawa nimekuelewa. Unaweza kuleza kidogo mapato yatakayopatikana baada ya kupanda kwa mara ya kwanza?
Karibu sana, Nasubiri order yako.
In the meantime, unaweza kutembelea demo site yetu iliyopo Kigamboni Dar es salaam kuanzia wiki ijayo.
Mkuu nimekimbia nchi kidogo ila by June ntakuwa nimerudi nikifika tu ntatia timu Kigamboni then ntakupa oda yangu that's given
Nimeshakutumia Ndugu, karibu sana.
Upo mkuu... ?Mkuu nimekimbia nchi kidogo ila by June ntakuwa nimerudi nikifika tu ntatia timu Kigamboni then ntakupa oda yangu that's given
Nimeshakutumia. Karibu sanamamaNa nami naomba unitumie details hizo kupitia gsmallya10@gmail.com,asante