Jenga Greenhouse kwa gharama nafuu

Jenga Greenhouse kwa gharama nafuu

MamaNa nitakutafuta. Hebu nambie unadhani mpaka kukamilika kwq hii kitu nahitaji kuwa na kiasi gani?
 
niliwahi kuisikia hii technolojia lakini leo ndio nimepata picha kamili.. Interesting !!
 
MAMANa naomba nitumie hiyo package ya green house tsh.2.5m ina jumuisha vitu gani ili mimi nijiandae kwa vitu gani? pia ninaeneo lingine nataka kuweka driplines pekee, ekari1 nimefuatilia balton na kwingine wanauza zaidi ya 2.5m kwa ekari drip lines, kwako naweza kupata driplines pekee kwa gharama gani, pia naomba nitumie hizi details kwenye email yangu genesis1748@gmail.com
 
Kuanzia June ndo nahitaji hiyo huduma mkuu ntakucheki

Karibu sana, Nasubiri order yako.
In the meantime, unaweza kutembelea demo site yetu iliyopo Kigamboni Dar es salaam kuanzia wiki ijayo.
 
MAMANa naomba nitumie hiyo package ya green house tsh.2.5m ina jumuisha vitu gani ili mimi nijiandae kwa vitu gani? pia ninaeneo lingine nataka kuweka driplines pekee, ekari1 nimefuatilia balton na kwingine wanauza zaidi ya 2.5m kwa ekari drip lines, kwako naweza kupata driplines pekee kwa gharama gani, pia naomba nitumie hizi details kwenye email yangu genesis1748@gmail.com

Nimeshakutumia email yenye maelezo yote,

Karibu sana.
 
niliwahi kuisikia hii technolojia lakini leo ndio nimepata picha kamili.. Interesting !!
Karibu sana. Ni teknolojia ambayo imeleta mabadiliko makubwa sana katika ukulima, kwa kutumia eneo dogo sana, maji kidogo, nguvu kidogo (hata mtu mmoja anaweza kuimanage akipata proper training, na mafanikio makubwa sana katika mavuno kwani unalima kwenda angani (juu) hadi mita tatu.
 
MamaNa na mie naomba hizo details kwenye email yangu, lakini pia ningependa kama upo Dar upite unikague kwanza kama eneo langu linaweza kuwa suitable for the purpose !!
mmassoudy@gmail.com
 
Unahitaji kuwa na Shilingi 3,500,000 tu, Greenhouse yako itakuwa fully functional, na training unapewa.

Mmmh basi itakuwa nusu ya bei ya Balton. Walinitumia quotation ya almost 7M. Aisee lazima nikutafute.
 
Hii kitu nimekua naitamani kujifunza mengi.
 
Mmmh basi itakuwa nusu ya bei ya Balton. Walinitumia quotation ya almost 7M. Aisee lazima nikutafute.

Karibu sana, ndio maana nikatangaza kwamba unajenga kwa gharama nafuu, nikimaanisha zaidi ya nusu ya bei ya mshindani. Pia za kwao ni Doom shaped, zina disadvantage kubwa sana, kwani inabidi uweke poles nyingi kwa ajili ya kuning'inizia mimea yako, na matuta manne ya pembeni yanakuwa karibu sana na poly cover kitu ambacho kinasababisha mazao kuungua kama yapo katika ukanda wa pwani au maeneo yenye jua kali.

Kwa ushahidi tu, nenda Balton waambie wakupe namba ya mtu yoyote aliyefunga halaf mtembelee ujionee jinsi gani greenhouse zao zinawaangusha wakulima wa maeneo yenye kiangazi kirefu (Huwa wanatoa namba, ni wewe tu kujua kujielezea), Act kama unataka kuona live/ demo site uongee na mteja kabla hujafanya maamuzi.
 
Karibu sana, ndio maana nikatangaza kwamba unajenga kwa gharama nafuu, nikimaanisha zaidi ya nusu ya bei ya mshindani. Pia za kwao ni Doom shaped, zina disadvantage kubwa sana, kwani inabidi uweke poles nyingi kwa ajili ya kuning'inizia mimea yako, na matuta manne ya pembeni yanakuwa karibu sana na poly cover kitu ambacho kinasababisha mazao kuungua kama yapo katika ukanda wa pwani au maeneo yenye jua kali...Kwa ushahidi tu, nenda Balton waambie wakupe namba ya mtu yoyote aliyefunga halaf mtembelee ujionee jinsi gani greenhouse zao zinawaangusha wakulima wa maeneo yenye kiangazi kirefu....(Huwa wanatoa namba, ni wewe tu kujua kujielezea), Act kama unataka kuona live/ demo site uongee na mteja kabla hujafanya maamuzi...

Sawa nimekuelewa. Unaweza kuleza kidogo mapato yatakayopatikana baada ya kupanda kwa mara ya kwanza?
 
Sawa nimekuelewa. Unaweza kuleza kidogo mapato yatakayopatikana baada ya kupanda kwa mara ya kwanza?
Katika greenhouse ya 8m x 15m utapanda miche 580 ya nyanya au pilipili hoho au biringanya au matango au nyanya chungu au bamia na mazao mengine mengi ambayo yanahitaji kulimwa kwa uangalifu namna hiyo.

Kama utafuata masharti kwa umakini (kumwagilia kwa wakati, kuweka mbolea husika za kutosha - hii utajua baada ya kuwa umefanya soul test na water test), kupanda mbegu bora na zenye historia nzuri ya kuzaa sana, kuzuia magugu kwa kupalilia au kuweka mulch, kuhakikisha unachunguza mimea kila wiki au siku ili kugundua mapema kama umeingiliwa na wadudu au ugonjwa na kuutibu mara moja nk...Bila kusahau kuzuia watu kuingia kiholela kwani huwa wanajisahau na kugeuza greenhouse ukumbi wa wageni kushangaa... lol

Mfano umelima nyanya kwa kufata masharti hayo, unataraia kuanza kuvuna mwezi wa tatu baada ya kuhamishia miche kwenye matuta yako (kumbuka miche inapandwa kwa udogo maalumu (potting mix) ndani ya greenhouse na kuna masharti yake ambayo ntakufundisha pia utakaponunua kutoka kwangu...), Na utaendelea kuvuna hadi miezi kumi na mbili (mwaka mmoja), hii itakupa tani 25-30 za nyanya kwa mwaka, na pili pili hoho ni hivyo hivyo tena zenyewe zinayield zaidi japo zina masharti mengine tofauti na ya nyanya...

Tani 30 za nyanya roughly ni kama mil 17-23, Sasa ukiwa na greenhouse usiridhike na mauzo haya, jaribu kununua packaging materials na utafute sehemu ya kusupply either kwa wiki au siku chache, hii itakupa minimumum sh 100 kwa kila nyanya utakayovuna, na tani moja ya nyanya ina zaidi ya nyanya elf 50, kwa kufanya hivi unatarajia kukuza mauzo na kuweza kufikia hadi mil 40 kwa mwaka kama utakuwa makini.

NB: HAYA NI MAKADIRIO TU, SIO LAZIMA UTAYAFIKIA AU KUYAPATA... Uhalisia wa biashara na kilimo ni tofauti sana na projection za kitaalamu. Hizi ni kukupa muongozo tu lakini hupaswi kukosa nusu ya makadirio kama upo makini...

Nadhani nimeeleweka.

NB: Kuna option nyingine ya kuprocess nyanya zako mfano kutengeneza JAM, Paste, Puree nk...
 
Karibu sana, Nasubiri order yako.
In the meantime, unaweza kutembelea demo site yetu iliyopo Kigamboni Dar es salaam kuanzia wiki ijayo.

Mkuu nimekimbia nchi kidogo ila by June ntakuwa nimerudi nikifika tu ntatia timu Kigamboni then ntakupa oda yangu that's given
 
Back
Top Bottom