Mama Na......Nashukuru Sana Kwa Elimu Na Mwanga Ulioutoa Kuhusiana Na Green House Technology Katika Kilimo Chenye Manufaa Na Tija, Natumai Kupitia Thread Hii Watanzania Wengi Wataelimika Na Kupata Hamasa Zaidi Ya Kufanya Kilimo Chenye Tija Hata Maeneo Ya Mijini Kwani Kwa Kutumia Teknolojia Hii Hauhitaj Kuwa Na Eneo Kubwa Hvyo Unaweza Hata Kuifanya Back Yard Nyumbani Kwako.
Nami Pia Ninaomba Unitumie Mchanganuo Mzima Wa Kutengeneza System Hii Kuanzia Materials Na Bei Zake Ukijumlisha Pia Hizo Drip Line Za Umwagiliaji Kwa Matone. Kwa Muda Mrefu Nimekuwa Nikihtaji Hii Technology Kwa Bei Nafuu Katika Kufanya Integration Vizuri Ya Ufugaji Wa Samaki Na Kilimo Cha Mboga Mboga Na Matunda, Pia Katika Designing And Establishment Ya Aquaponics System.
Nitumie Kupitia Email Hii:
Daveaquatz@gmail.Com.
Nashukuru.