Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Udongo wa kichanga unafaa kwa kilimo hiki, au itabidi kuongeza mbolea sana. naomba ushauri kwani nina eneo sehemu lakini udongo wake ni wa mchanga sana, nahisi kama hauna rutuba itatakiwa kuongeza malori na malori.
Kwanini soil and water analysis ifanyike Kenya what is so special in kenya that differ from SUA, UKIRIGURU na MLINGANO
Kwanini soil and water analysis ifanyike Kenya what is so special in kenya that differ from SUA, UKIRIGURU na MLINGANO
Ukiritimba
Mama Kazinja ni Mtanzania mwenye asili ya India! Siku hizi anafundisha Chuo cha Maji Rwegalulila kwa mkataba baada ya kustaafu. Ni kweli ana maabara yake na anafanya consultancy zake binafsi, na ni mzuri kwani ana ielewa hii fani na pia hofu ya Mungu hivyo hana longolongo! Kwa anayemhitaji, aende pale Ilala Manispaa Idara ya M,aji amuone binti yake ambaye pia ni mtaalam katika maabara ya maji. AsanteKwa nyie mnaoishi Bongo water test anafanya Mama Kazinja (ni mhindi huyu), anafundisha Chuo cha Maji. Anatoa majibu baada ya siku 3 na gharama zake ni 150,000/=
tzhello, nenda pale Idara ya Maji ya Manispaa ya Ilala wana fanya kazi hii ya kucheki kama eneo husika lina maji kwa kutumia mashine inaitwa Terrameter. Hii ni ya uhakika na baada ya hapo wanaweza kukuchimbia kisima unachotak kwa bei nzuri tu. Cheki nao ni muhimu kabla ya kuingia kwenye shughuli hii ya kilimo cha greenhouse. Barikiwa.Asante MamaNa, mi nina eneo lingine kibaha kama robo hekari ila ishu ni maji je naweza pata msaada wa jinsi gani ya kuchimba kisima ikiwezekana na kusurvey eneo kabla ya kuanza uchimbaji,nategemea msaada wako,Thanks..
Ukiritimba
Mkuu...nilikuwa nje ya mtandao kwa muda.
Vipi ulishakuja Mwanza kama ulivyoahidi? Kama bado let me know ili ukija tuonane na kama ulishakuja...je utarudi lini tena?
Thanks!
Mkuu please be so kind kuntumia huo mchanganuo na maelezo yoyote ya ziada kwenda arnoldmsoffe@gmail.com
ntakutafuta soon
big up sana kwa haya mapinduzi.
2.5 m ni gharama za kununulia vifaa tu
sasa gharama za matengenezo ni sh ngapi?na vipi kama mimi nipo RUVUMA kule mbinga kabisa ndani karibu na ziwa nyasa?
So hii 2.5 ni pamoja na kupia udongo na maji pia inajumuisha na kupanda miche ndani ya greenhouse maana sijaelewa tofauti ya mil4.5 na mil2.5 nakumbua ulisema 4.5 unakabiziwa mziko ukiwa kamili kilicho baki ni ufuatiliaji ss hii 2.5 inaishia wapi tafadhali
Mfano mtu anataka umtengenezee system ya kumwagilia tu bila ya greenhouse ukubwa wa shamba ni robo heka anataka kulima nyanya dharama yaweza kuwa kiasi gani
kwa msaada tu huo ukiritimba haupo,peleka sample zako gst dodoma pale,majibu siku hiyohiyo.