Jenga Greenhouse kwa gharama nafuu

Jenga Greenhouse kwa gharama nafuu

Udongo wa kichanga unafaa kwa kilimo hiki, au itabidi kuongeza mbolea sana. naomba ushauri kwani nina eneo sehemu lakini udongo wake ni wa mchanga sana, nahisi kama hauna rutuba itatakiwa kuongeza malori na malori.
 
Ndugu yangu jibu la rutuba ya udondo linapatikana maabara. Tupime udongo tujue composition. Nipigie tufanye mkakati wa kupata soil sample
 
Kwanini soil and water analysis ifanyike Kenya what is so special in kenya that differ from SUA, UKIRIGURU na MLINGANO
 
Kwa nyie mnaoishi Bongo water test anafanya Mama Kazinja (ni mhindi huyu), anafundisha Chuo cha Maji. Anatoa majibu baada ya siku 3 na gharama zake ni 150,000/=
Mama Kazinja ni Mtanzania mwenye asili ya India! Siku hizi anafundisha Chuo cha Maji Rwegalulila kwa mkataba baada ya kustaafu. Ni kweli ana maabara yake na anafanya consultancy zake binafsi, na ni mzuri kwani ana ielewa hii fani na pia hofu ya Mungu hivyo hana longolongo! Kwa anayemhitaji, aende pale Ilala Manispaa Idara ya M,aji amuone binti yake ambaye pia ni mtaalam katika maabara ya maji. Asante
 
Asante MamaNa, mi nina eneo lingine kibaha kama robo hekari ila ishu ni maji je naweza pata msaada wa jinsi gani ya kuchimba kisima ikiwezekana na kusurvey eneo kabla ya kuanza uchimbaji,nategemea msaada wako,Thanks..
tzhello, nenda pale Idara ya Maji ya Manispaa ya Ilala wana fanya kazi hii ya kucheki kama eneo husika lina maji kwa kutumia mashine inaitwa Terrameter. Hii ni ya uhakika na baada ya hapo wanaweza kukuchimbia kisima unachotak kwa bei nzuri tu. Cheki nao ni muhimu kabla ya kuingia kwenye shughuli hii ya kilimo cha greenhouse. Barikiwa.
 
2.5 m ni gharama za kununulia vifaa tu
sasa gharama za matengenezo ni sh ngapi?na vipi kama mimi nipo RUVUMA kule mbinga kabisa ndani karibu na ziwa nyasa?
 
So hii 2.5 ni pamoja na kupia udongo na maji pia inajumuisha na kupanda miche ndani ya greenhouse maana sijaelewa tofauti ya mil4.5 na mil2.5 nakumbua ulisema 4.5 unakabiziwa mziko ukiwa kamili kilicho baki ni ufuatiliaji ss hii 2.5 inaishia wapi tafadhali
 
Mfano mtu anataka umtengenezee system ya kumwagilia tu bila ya greenhouse ukubwa wa shamba ni robo heka anataka kulima nyanya dharama yaweza kuwa kiasi gani
 
Mkuu...nilikuwa nje ya mtandao kwa muda.
Vipi ulishakuja Mwanza kama ulivyoahidi? Kama bado let me know ili ukija tuonane na kama ulishakuja...je utarudi lini tena?
Thanks!

Yes nimeshakuja mwanza mara mbili, sina ratiba ya kuja huko kwa muda kidogo. Kama unahitaji huduma zetu, tafadhali piga simu au email kwa kutumia website yetu www.hortiorganics.co.tz tutakupa utaratibu.
 
2.5 m ni gharama za kununulia vifaa tu
sasa gharama za matengenezo ni sh ngapi?na vipi kama mimi nipo RUVUMA kule mbinga kabisa ndani karibu na ziwa nyasa?

Majibu ya maswali yenu yote yapo kwenye thread hii hii, tujitahidi kuokoa muda kwa kuisoma yote. Nikiendelea kujibu kils mtu swali lile lile tutarefusha tu uzi na kuifanya ipoteze ladha.
Pia ukitembelea www.hortiorganics.co.tz utapata majibu yote.
 
So hii 2.5 ni pamoja na kupia udongo na maji pia inajumuisha na kupanda miche ndani ya greenhouse maana sijaelewa tofauti ya mil4.5 na mil2.5 nakumbua ulisema 4.5 unakabiziwa mziko ukiwa kamili kilicho baki ni ufuatiliaji ss hii 2.5 inaishia wapi tafadhali

2.5 ni gharama ya kununua materials tu kama unajua kujenga mwenyewe. 4.5 ni gharama ya kufanyiwa kazi nzima na kukabidhiwa shamba lenye mimea.
Nb: tafadhali tuwasiliane kwa simuau website www.hortiorganics.co.tz.
 
Mfano mtu anataka umtengenezee system ya kumwagilia tu bila ya greenhouse ukubwa wa shamba ni robo heka anataka kulima nyanya dharama yaweza kuwa kiasi gani

Drip systrm ya robo heka ni 1m, kama unataka tukutengenezee shambani kwako itakugharimu 1.5m, matuta utaweka mwenyewe. Tank na installation tutakuwekea. Nb: nipigie simu kwa maswali zaidi 0714881500
 
kwa msaada tu huo ukiritimba haupo,peleka sample zako gst dodoma pale,majibu siku hiyohiyo.

Kisayansi huwezi kufanya complete soil analysis kwa masaa 24, udongo unapitia stages nyingi mno mpaka kujua kilichomo ndani yake. Minimum ni 1week, ukifanyiwa siku moja hiyo sio complete soil analysis, utakuwa umepewa ph analysis tu...
Nb: huu ni uzi muhimu sana, kama hatujui kitu husika tujiepushe na upotoshaji, this is science.
 
Huu ni moja ya nyuzi chache zenye taarifa muhimu sana, pamoja na yote dhana ya green house imejengwa kwenye kupata hali ya hewa/mazingira murua kwa ukuaji wa mmea ikijumuisha jua, kiasi cha maji, joto, na udhibiti wa wadudu/magonjwa...

Kwakuzingatia design ya GH yako naomba uniondolee shaka kwenye udhibiti wa joto na wadudu.
Salaam
 
Back
Top Bottom