Ndo MANA nikashangaa kwa Nini huo uwanja umepewa kuchezeaha cecafa. Kwa Nini USIWE amri abeidTFF wanakuwa wanaingilia hadi viwanja binafsi .
Kama umeona uwanja wa yanga wa kigamboni na simba Bunju
Means hivi viwanja vinakuwa for mazoezi na pre season na sio kuchezea match
Yule mama WA Namibia ka ahidi KUJENGA VIWANJA Saba, WATU wanaona mbali Kuna kombe la dunia ngazi za vilabu limenzishwa SASA HIVI ni WEWE TU nchi Yako kujipangaKwa Tz ilivyokuwa kubwa na nzuri, ingepaswa kila mkoa at least kuwe kuna facility moja ya namna hiyo.
Sijui tunakwama wapi?
Serikali imelala kuamsha huo uwekezaji.
TFF ndio kabisa, wapo kama hawapo.
Mkuu nilipo KUWA nafanya KAZI ya ulinzi zanzibar KWENY hoteli MOJA HIVI. SIKU moja walikua wageni wanawake WAWILI kutoka arabuni. Sasa asubuhi nimekaa JUU nacheki lindo akaja mama MmOJA akaniuliza naweza pita kuaangalia mazingira tafadhali NAMI nikajibu pita hakuna SHIDA.Unaweza ukaandika business proposal kwakutumia SWOT
Ukawapelekea wakwekezaji ambao wana hela then wewe ukaifaidika na kupewa asilimia Fulani ya wazo lako.
Kaka ni connection TU ukipata umemaliza. Uwanja WA karatu ume host cecafa under twenty juzi TU SAIVI TENA unahost cecafa ya wakubwa nmeshangaa kumbe WATU wanamalengo UNAWEZA ona MTU anapoteza PESA kumbe kategesha.pesa haitafutwi inategwaHili ni bonge la wazo.
Unatafuta eneo huko nje ya mji, anajenga pitch safiii, unaweka hosteli facility za uhakika, hii ni lazima itakuwa booked na hizi events...
1. Pre season camp kwa vilabu mbalimbali.
2. Pre tornament camp kwa timu za taifa.
3. Institute competitions.
4. Mashindano mbalimbali.
Yanga wana uwanja wa mazoezi?TFF wanakuwa wanaingilia hadi viwanja binafsi .
Kama umeona uwanja wa yanga wa kigamboni na simba Bunju
Means hivi viwanja vinakuwa for mazoezi na pre season na sio kuchezea match
Mtaji upo bankWazo zuri mtaji ndio kikwazo mkuu
Pale cheka huwa wanafanyia sasa sijafatilia kujua ni wa kwao au hamnaYanga wana uwanja wa mazoezi?
Kupata ndio kazi kama una idea tuMtaji upo bank
Ukiwa mkono wa birika fata Sheria tu utapataKupata ndio kazi kama una idea tu
TokaaapaUza NYUMBA
Kwishaaaaa
Huo wa karatuMkuu upi? huu wa karatu au?
Kwishaaaaa
DAH HAPO SIWEZI jua ILA FANYA HIVI. Uwanja WA gwambina MWANZA una majukwaa na fensi na ulitumia chini ya bilioni tatu basi huo ni MILIONI mia mbili au mia hauzidi. HAPO namanisha na ununuzi WA eneo TENA HAPO umetumia injinia. Kama ni local TU bila injinia mkuu gharama ni NDOGO MANA hauna tofauti na shamba lililo fyekwa nyasiHuo wa karatu