Jenga na tofali za kisasa za mwamba! Zisizo na gharama ya plasta kwa nje

Jenga na tofali za kisasa za mwamba! Zisizo na gharama ya plasta kwa nje

Jaribu kuweka picha vizuri. Nashindwa ziona.

Kama hutajali.
Hii

Ova
IMG-20221222-WA0019.jpg
IMG-20221222-WA0026.jpg
 
Habari za leo ndugu zangu?

Nauza tofali za Mwamba tofali ngumu mra 5 ya tofali za block!

ukijenga nazo usitegemee nyumba itapata crack au msuko suko wowote!

Tofali hizi ni ngumu kiasi ambacho wakati wa kupakiwa zinarushwa tu kwenye gari na wakati wa kushusha unabinua tu tipa. Uwezekano wa kukufikia popote ulipo upo, kwa mikoani tunatumia semi trela zinazoleta mahindi mpaka wa Kenya Holili.

Semi inaweza kubeba tofali 1200 kwa tofali hizi ndefu na 1360 kwa tofali fupi, ambazo idadi hiyo ya tofali inaweza kujenga vyumba hadi vitano kulingana n ramani ya nyumba yako.

Tofali hizi zimechongwa vizuri zina mwonekano mzuri hazina mashimo mashimo zimechongwa kwa mashine hivyo kama utapenda kwa nje ya nyumba unaweza usipige plasta na ukaishi vizuri tu ukaenda na fashion!

Bei yake sasa,
Tofali zote inch 5&6 ni 1050 zenye urefu wa inch 18 na 1000 zenye urefu wa inch 16.

Kwa wanaojenga Moshi hadi zifike site ni 1300, kwa wilaya za Same, Korogwe, Tanga Mjini, na Dar tofali zinakuja kwa bei rafiki kwakuwa kuna masemi mengi yanayokuja kupakia simenti maeneo ya Tanga.

Faida za iazda
  • No crack.
  • Tofali zetu ni imara sana.
  • Haziliwi na magadi.
  • Unaweza usipige plasta na ukaenjoy kuishi hapo.
  • Ukizijenga hazitumii sementi nyingi.
  • Unanzia msingi hadi kwenye lenta hakuna gharama za mawe ya msingi.

0682770944
Kwa Dodoma tunazipataje mkuu?
Na je mna mpango wa kuwa na uzalishaji Dodoma? maana pana chumvi si ya kawaida.
 
Hakuna ritcher scale ya 12 mwisho 9.

Pili ritcher scale inatumika kupima nguvu ya matetemeko.

Hardness ya jiwe etc hupimwa kwa kipimo kiitwacho Mohs scale na huanzia 1-10.

Diamond ambayo ndiyo jiwe gumu zaidi ina mohs scale ya 10

je, hayo mawe ya holili ni magumu kuliko diamond?

Au maelezo yako ni chai?
Mkuu mohs scale ni kipimo cha kugundua ugumu wa minerals na sio mwamba kwa maana mwamba huundwa na madini ya aina moja au zaidi. Ila kipimo cha mwamba ni kuangalia stress analysis.
 
Back
Top Bottom