Jenga na tofali za kisasa za mwamba! Zisizo na gharama ya plasta kwa nje

Jenga na tofali za kisasa za mwamba! Zisizo na gharama ya plasta kwa nje

Habari,

Karibu mgodini Holili Rombo Kilimanjaro au tupigie simu tukuletee tofali ngumu imara na nzuri kuliko tofali uliyowahi kuiona

kwanini ujengee na tofali za mwamba?

1. Ni imara mara 5 zaidi ya tofali za kawaida zikifikishwa site tunabinua body ikikatika hata moja unarudishiwa hela yako

2. Unaweza kujengea usipige plasta kwa nje na ukahamia.

3. Inatumia cement na mchanga kidogo unapojenga (inapunguza gharama kwa asilimia 10%
ukijengea ukuta tofali hii huhitaji kabisa plasta

4. Ni ngumu ukibomoa nyumba au kwa bahati mbaya wakipita bomoabomoa tofali zako zote utazikuta kama ulivyozinunua hakuna hata moja itakua na kasoro

5. Kwa wanaosumbuliwa na magadi! au wanaojenga kwenye magadi haziliwi na magadi wala kudhuriwa na magadi

Tunafanya kazi siku sita za week 24/7

Piga 0682770944/0676780419

IMG_20220928_162654_0.jpg
JamiiForums1808221989.jpg
FB_IMG_16688377570705113.jpg
FB_IMG_16691313364128047.jpg
FB_IMG_16688377440481991.jpg
IMG_20220928_162640_3.jpg
IMG_20220908_122107_9.jpg
IMG_20220903_113833_364.jpg
IMG_20220925_105643_5.jpg
IMG_20220902_144729_8.jpg
IMG_20220902_144741_4.jpg

bei za tofali

tofali la inch 5 kwa inch 9 kwa 15 ni sh 950
tofali la inch 5/9/18 @sh 1000
tofali la inch 5/8/15 sh@ 850
inch 6 /9/15 sh 1100
inch 6/9/18 1200
bei zote hizo ni bila usafiri usafiri integeme na umbali anaojengea mteja
 
Anaonekana Hana Bei permanent anao upigaji. Ngoja niicheki hii mashine ili niwachongee hapa hapa mwanza Mana mawe mengi mno hapa mwanza adi kero
mji kama mwanza nyumba zilitakiwa zijengwe na mawe ila watu wanafyatua tofali sijui labda itakuwa ni gharama au sabb za kiufundi
 
Habari,

Karibu mgodini Holili Rombo Kilimanjaro au tupigie simu tukuletee tofali ngumu imara na nzuri kuliko tofali uliyowahi kuiona

kwanini ujengee na tofali za mwamba?

1. Ni imara mara 5 zaidi ya tofali za kawaida zikifikishwa site tunabinua body ikikatika hata moja unarudishiwa hela yako

2. Unaweza kujengea usipige plasta kwa nje na ukahamia.

3. Inatumia cement na mchanga kidogo unapojenga (inapunguza gharama kwa asilimia 10%
ukijengea ukuta tofali hii huhitaji kabisa plasta

4. Ni ngumu ukibomoa nyumba au kwa bahati mbaya wakipita bomoabomoa tofali zako zote utazikuta kama ulivyozinunua hakuna hata moja itakua na kasoro

5. Kwa wanaosumbuliwa na magadi! au wanaojenga kwenye magadi haziliwi na magadi wala kudhuriwa na magadi

Tunafanya kazi siku sita za week 24/7

Piga 0682770944/0676780419

View attachment 2449532View attachment 2449534View attachment 2449536View attachment 2449537View attachment 2449538View attachment 2449539View attachment 2449540View attachment 2449541View attachment 2449542View attachment 2449543View attachment 2449544

bei za tofali

tofali la inch 5 kwa inch 9 kwa 15 ni sh 950
tofali la inch 5/9/18 @sh 1000
tofali la inch 5/8/15 sh@ 850
inch 6 /9/15 sh 1100
inch 6/9/18 1200
bei zote hizo ni bila usafiri usafiri integeme na umbali anaojengea mteja
 
Safi sana hii nimeipenda hakika Kwa jinsi siku zinavyozidi kusogea tutaachana kabisa na tofali za kizamani.
Kwa hapa DAR mnapatikana wapi au bado kiwanda chenu kipo Kilimanjaro?
 
Vipi naweza waleta mkoa mwingine palipo na miamba mkanitengenezea tofali ninazozotaka (kuanzia 8,000)?
 
Back
Top Bottom