RockBlockHolili
Member
- Sep 5, 2022
- 87
- 141
- Thread starter
- #61
0682770944c
contact zako boss?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
0682770944c
contact zako boss?
1895Mkuu mbona hautoi bei ya hizo tofali mpaka Dar?
nipigie 0682770944Handeni
Mna account Instagram?nipigie 0682770944
ndio lakini ni kampuni tanzu hiyo tofali zake ni fupi kidogo zina cm 16 urefu sisi 18Mna account Instagram?
Ni urefu ni cm 16 au ni Inchi 16?ndio lakini ni kampuni tanzu hiyo tofali zake ni fupi kidogo zina cm 16 urefu sisi 18
Nipe Bei ya kibaha kwa tofali moja mkuuHabari za leo ndugu zangu?
Nauza tofali za Mwamba tofali ngumu mara 5 ya tofali za block!
ukijenga nazo usitegemee nyumba itapata crack au msuko suko wowote!
Tofali hizi ni ngumu kiasi ambacho wakati wa kupakiwa zinarushwa tu kwenye gari na wakati wa kushusha unabinua tu tipa. Uwezekano wa kukufikia popote ulipo upo, kwa mikoani tunatumia semi trela zinazoleta mahindi mpaka wa Kenya Holili.
Semi inaweza kubeba tofali 1200 kwa tofali hizi ndefu na 1360 kwa tofali fupi, ambazo idadi hiyo ya tofali inaweza kujenga vyumba hadi vitano kulingana n ramani ya nyumba yako.
Tofali hizi zimechongwa vizuri zina mwonekano mzuri hazina mashimo mashimo zimechongwa kwa mashine hivyo kama utapenda kwa nje ya nyumba unaweza usipige plasta na ukaishi vizuri tu ukaenda na fashion!
Bei yake sasa,
Tofali zote inch 5&6 ni 1050 zenye urefu wa inch 18 na 1000 zenye urefu wa inch 16.
Kwa wanaojenga Moshi hadi zifike site ni 1300, kwa wilaya za Same, Korogwe, Tanga Mjini, na Dar tofali zinakuja kwa bei rafiki kwakuwa kuna masemi mengi yanayokuja kupakia simenti maeneo ya Tanga.
Faida za ziada
View attachment 2358816View attachment 2358817View attachment 2358818View attachment 2358820View attachment 2358821View attachment 2358823
- No crack.
- Tofali zetu ni imara sana.
- Haziliwi na magadi.
- Unaweza usipige plasta na ukaenjoy kuishi hapo.
- Ukizijenga hazitumii sementi nyingi.
- Unanzia msingi hadi kwenye lenta hakuna gharama za mawe ya msingi.
itakua 1700 mkuuNipe Bei ya kibaha kwa tofali moja mkuu
Hakuna ritcher scale ya 12 mwisho 9.ndio zina richerscale ya 12 yaaani mgandamizo wa 12 na ukitaka ujue hizi tofali ni imara zikija tipa linabinua kama unavyobinua mawe na hazikatik wala kuvunjika
inch boss ulihitaji tofali ngap? na je semitrela inafika hapo site kwako kwa urahisiNi urefu ni cm 16 au ni Inchi 16?
Je Vipi usafiri mpaka Pale Usa river Arusha, bei gani, na minimum mnasafirisha tofali ngapi?
Hiyo ni miamba mkuu,naona hata hapo Kenya zinatumika sana katika ujenzi na zinapendezesha nyumba sana,unaepuka gharama za plastaTofali hizi ni mwamba tupu!?
Au mnatumia vumbi la mawe/kokoto na cement kutengeneza!?
Mtoa mada naona yupo kimya, nimemuuliza swali moja kwenye threads mbili tofauti, ila bado kimya.Hiyo ni miamba mkuu,naona hata hapo Kenya zinatumika sana katika ujenzi na zinapendezesha nyumba sana,unaepuka gharama za plasta