Kha?Mkuu mohs scale ni kipimo cha kugundua ugumu wa minerals na sio mwamba kwa maana mwamba huundwa na madini ya aina moja au zaidi. Ila kipimo cha mwamba ni kuangalia stress analysis.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kha?Mkuu mohs scale ni kipimo cha kugundua ugumu wa minerals na sio mwamba kwa maana mwamba huundwa na madini ya aina moja au zaidi. Ila kipimo cha mwamba ni kuangalia stress analysis.
Ahsante sanaTembelea Don Bosco Hapo Mipango Utapata Zipo
Chuo Cha Kikatoliki
Mbona washangaaKha?
Nashangaa haya:Mbona washangaa
Mkuu hizo mashine kwa bongo wauzaji Ni kampuni gani? Na Ni bei gani?Nashangaa haya:
1. Unaposema Mohs scale ni kipimo cha "kugundua "ugumu wa minerals
2. Miamba huundwa na 'madini' aina moja au tofauti. Kana kwamba madini na minerals ni vitu viwili tofauti.
Nikuhakikishie kwamba ugumu wa mwamba au tofali za holili haupimwi kwa kwa kipimo cha Ritcher Scale bali hutumika
1. Point load test ,point load index au
2. Compression test au
3. Brazilian test
Kuhusu Mohs scale hii hutumika kupima ugumu wa madini - precious and semi precious stone
Habari za leo ndugu zangu?
Nauza tofali za Mwamba tofali ngumu mra 5 ya tofali za block!
ukijenga nazo usitegemee nyumba itapata crack au msuko suko wowote!
Tofali hizi ni ngumu kiasi ambacho wakati wa kupakiwa zinarushwa tu kwenye gari na wakati wa kushusha unabinua tu tipa. Uwezekano wa kukufikia popote ulipo upo, kwa mikoani tunatumia semi trela zinazoleta mahindi mpaka wa Kenya Holili.
Semi inaweza kubeba tofali 1200 kwa tofali hizi ndefu na 1360 kwa tofali fupi, ambazo idadi hiyo ya tofali inaweza kujenga vyumba hadi vitano kulingana n ramani ya nyumba yako.
Tofali hizi zimechongwa vizuri zina mwonekano mzuri hazina mashimo mashimo zimechongwa kwa mashine hivyo kama utapenda kwa nje ya nyumba unaweza usipige plasta na ukaishi vizuri tu ukaenda na fashion!
Bei yake sasa,
Tofali zote inch 5&6 ni 1050 zenye urefu wa inch 18 na 1000 zenye urefu wa inch 16.
Kwa wanaojenga Moshi hadi zifike site ni 1300, kwa wilaya za Same, Korogwe, Tanga Mjini, na Dar tofali zinakuja kwa bei rafiki kwakuwa kuna masemi mengi yanayokuja kupakia simenti maeneo ya Tanga.
Faida za iazda
- No crack.
- Tofali zetu ni imara sana.
- Haziliwi na magadi.
- Unaweza usipige plasta na ukaenjoy kuishi hapo.
- Ukizijenga hazitumii sementi nyingi.
- Unanzia msingi hadi kwenye lenta hakuna gharama za mawe ya msingi.
0682770944
View attachment 2347075View attachment 2347076View attachment 2347077View attachment 2347078View attachment 2347079View attachment 2347080View attachment 2347081View attachment 2347082
Sidhani kama Kila fundi anayejua kujenga anaweza kuzijenga hizi zikaonekana vizuri.ni rahisi kujengea kila fundi anayeweza kujengea tofali za kawaida hizi anapigia fresh tuView attachment 2349039
Mkifika Mwanza mnijulishetutafanyia kazi ombi lako