Jenga na tofali za kisasa za mwamba! Zisizo na gharama ya plasta kwa nje

Kwa Singida mjini gharama za usafiri ni kiasi gani tofauti kuanzia 3000?
 
Kwa Dodoma tunazipataje mkuu?
Na je mna mpango wa kuwa na uzalishaji Dodoma? maana pana chumvi si ya kawaida.
 
Mkuu mohs scale ni kipimo cha kugundua ugumu wa minerals na sio mwamba kwa maana mwamba huundwa na madini ya aina moja au zaidi. Ila kipimo cha mwamba ni kuangalia stress analysis.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…