Jenga na tofali za kisasa za mwamba! Zisizo na gharama ya plasta kwa nje

Mbona washangaa
Nashangaa haya:
1. Unaposema Mohs scale ni kipimo cha "kugundua "ugumu wa minerals
2. Miamba huundwa na 'madini' aina moja au tofauti. Kana kwamba madini na minerals ni vitu viwili tofauti.

Nikuhakikishie kwamba ugumu wa mwamba au tofali za holili haupimwi kwa kwa kipimo cha Ritcher Scale bali hutumika
1. Point load test ,point load index au
2. Compression test au
3. Brazilian test
Kuhusu Mohs scale hii hutumika kupima ugumu wa madini - precious and semi precious stone
 
Mkuu hizo mashine kwa bongo wauzaji Ni kampuni gani? Na Ni bei gani?
 
Leta Mashine Geita au Mwanza utapiga hela maana Mawe yaliyopo naamini yanaweza toa Tofali.Pia wajenzi wapewe ABC jinsi ya kujenga
 
Leta Mashine Geita au Mwanza utapiga hela maana Mawe yaliyopo naamini yanaweza toa Tofali.Pia wajenzi wapewe ABC jinsi ya kujenga
 

Mkuu hii imepigwa rangi au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…