YoungPastor
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 437
- 674
Ilinikuta kwenye kilimo mwaka flan, Nlichukia kilimo sanaaa bila kujua ni ujinga nlikuwa natolewa.USI pende kuweka juhudi zako zote katika Jambo moja, I we biashara au kazi YoungPastor .
👉I'll ufanikiwe Ina bidi ugawanye nguvu, ili siku Jambo moja likizingua. Mengine yaku okoe
Hata Mimi Ili nipiga kwenye vyombo vya Moto aise🤒Ilinikuta kwenye kilimo mwaka flan, Nlichukia kilimo sanaaa bila kujua ni ujinga nlikuwa natolewa.
Tatizo ni level tunayoruhusu kuhusiana na marafiki.Hakunaga angalia hii filamu "ROMEO MUST DIE " Angalia huyo muafrika alovyogeukwa na mtu anayemwamini hata wewe ulibwagwa na rafiki yako .
Ni darasa muhm sana lakinHata Mimi Ili nipiga kwenye vyombo vya Moto aise🤒
Ndioo, nime jifunza kuwa na Roho ya kustahimili kila jamboNi darasa muhm sana lakin
Hivi kustahimili na kuvumilia kuna kautofauti kiasi?Ndioo, nime jifunza kuwa na Roho ya kustahimili kila jambo
Huste harder hustle smarter ngoja nikichekMkuu hicho kitabu alichoandika 50 cent ni kile cha Hustle harder hustle smarter?
Kama ndo hicho nilikisoma pia kina madini mengi
Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
Moja ya kitabu kinoma roho safiHuste harder hustle smarter ngoja nikichek
Vina ka utofauti, ila SI kubwa.Hivi kustahimili na kuvumilia kuna kautofauti kiasi?
Sawa mkuu thanks. I thought ..kumudu ndo kustahimili....vumilia ndo kupokea na kutulia nayo.Vina ka utofauti, ila SI kubwa.
👉Stahimili Ina husu kupokea na kuweza kutulia nayo.
👉vumili ni kumudu Jambo YoungPastor
SawaSawa mkuu thanks. I thought ..kumudu ndo kustahimili....vumilia ndo kupokea na kutulia nayo.
YoungPastor jifunze kitu.Darasa zuri nimejifunza
Nimechukua maarifa
Kwenye maisha hatukomi kujifunza
Me naamini kwenye juhudi na kujiamini
Juhudi zako hazitakutupa ipo siku zitakufanikisha
Rafiki ni kitu kinakuja automatic, hakuna mtu anatumiwa maombi ya urafiki sema mipaka ndo tuchunguze iwe na kiasi
Me naamini kuwa na mahusiano na watu wote ni jambo zuri hata maskini wanachangia kukubwa kwenye utajiri wako
Matajiri akina na bakheresa wateja wao wakubwa ni watu wa kipato cha chini ndo wachangiaji wa utajiri watu
Kujamiana na watu hakupunguzi utajiri wala umaskini hiyo ni ego tu
Otherwise uzi mzuri nimechukua madini baadhi
Kuna kakitu hapo. "Hata maskini anaweza kukupa wazo la utajiri" ila wazo bila bidii na kuwekeza n zero done workYoungPastor jifunze kitu.
Brother nimeukubali ushauri wako,tujikite kutatua matatizo yenye kuitesa jamii ili iwe bidhaa wanunue... network itakutafuta yenyewe tu.huna haja yakuitafuta network nisawa nakujikomba au kujipendekeza kwao.ukiweza kusuluhisha matatizo ww ndio utakua network mwenyewe.Network is overrated
Subiri network uone tatizo lake
I think ukiwa na akili sana na ukatoa solution au bidhaa itakayo really solve problems,regardless hata uwe haramia kama Idd Amin,human beings will buy that shit
Network ni burden na kupotezeana muda
Muda mwingine Sio kujikomba, ili jionyeshe kipaji, nidhamu na hata Akili uliyo nayo.Brother nimeukubali ushauri wako,tujikite kutatua matatizo yenye kuitesa jamii ili iwe bidhaa wanunue... network itakutafuta yenyewe tu.huna haja yakuitafuta network nisawa nakujikomba au kujipendekeza kwao.ukiweza kusuluhisha matatizo ww ndio utakua network mwenyewe.
Mzigua ninakukubali mno wewe dadaNilifanyia kazi na matokeo nayaona [emoji120][emoji120]