Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,775
- 29,746
Samahani wateja,Weka bei ya tofali zenu.... tujue mbivu na mbichi.
Bei zetu zimechangamka kiasi ndio maana tunaogopa kuzitaja hadharani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samahani wateja,Weka bei ya tofali zenu.... tujue mbivu na mbichi.
Nunua mwenyewe eti 6,500Tofali moja ni 6500. Tu
Duhh ghali sana. Apunguze mkuuTofali moja ni 6500. Tu
Nadhani ni ushuru na usafiri but sio USHAURI.stoneblock asante kwa kuweka bei.
Jee hapo umemaanisha hizo tofali zina upana wa nchi 6 au 8 na urefu wa nchi 18??
Jee bila ushauri ndiyo mtu atauziwa tofali moja kwa shilingi 1,100? na kwa 2,500 ndiyo pamoja na ushauri?
Kama nimeelewa sawa sawa ni kwamba Gharama za ushauri ni shilingi 1,400!!??
Aisee hili jibu ni kiboko 😂🤣Samahani wateja,
Bei zetu zimechangamka kiasi ndio maana tunaogopa kuzitaja hadharani
zipo kwenye workshop yetu pale boko msikitini boss tupigie 0762993482 kwa Dar na 0682770944 kwa KilimanjaroHizi tofali mnazo hapo saba saba au mpaka msafirishe?
Ikiwa DAR boko tofari moja bei gani?Dar Boko msikitini Arusha tuna deport pale Kisongo mikoa mingine unatumiwa au kwa ufupi zinaweza kukufikia mkoa wowote unaohitaji bei ya tofali ni 1000 kwa kila piece kwa mgodini size ya tofali kuna 5/8/15 inches na 5/8/18 pia kuna 6/8/15 na 6/8/18
Dar Boko msikitini Arusha tuna deport pale Kisongo mikoa mingine unatumiwa au kwa ufupi zinaweza kukufikia mkoa wowote unaohitaji bei ya tofali ni 1000 kwa kila piece kwa mgodini size ya tofali kuna 5/8/15 inches na 5/8/18 pia kuna 6/8/15 na 6/8/18