Jengea tofali imara za Mwamba za Holili Rombo Kilimanjaro

tofali moja ni 2500 inch 6/8/18 lakini ni 1100 tofali bila usafiri na ushuru
tofali zetu ukijengea hupigi plasta kwahiyo gharama ya plasta inaweza kufidia bei ya tofali
IMG_20230701_095015_244.jpg
FB_IMG_16688377570705113.jpg
 
stoneblock asante kwa kuweka bei.

Jee hapo umemaanisha hizo tofali zina upana wa nchi 6 au 8 na urefu wa nchi 18??

Jee bila ushauri ndiyo mtu atauziwa tofali moja kwa shilingi 1,100? na kwa 2,500 ndiyo pamoja na ushauri?

Kama nimeelewa sawa sawa ni kwamba Gharama za ushauri ni shilingi 1,400!!??
 
Nadhani ni ushuru na usafiri but sio USHAURI.
 
Samahani wateja,
Bei zetu zimechangamka kiasi ndio maana tunaogopa kuzitaja hadharani
Aisee hili jibu ni kiboko 😂🤣
Kwamba huamini kama kuna wateja wanaweza kumudu hizo gharama sio 😄
 
Hawa jamaa wako holili moshi, tofali zao ni nzuri sana.
 
karibu rock block Holili kwa tofali imara za Mwamba tofali zetu ni imara mara 3 ya tofali za kawaida zinafaa kwa kujengea msingi wa nyumba Magorofa mitaro na sehemu zote ambazo utahitaji tofali zenye uimara kama mawe ya chupa.

IMG_20230718_113530_741.jpg
IMG_20230420_120433_783.jpg
IMG_20220902_144733_5.jpg
IMG_20220908_122119_8.jpg
JamiiForums1808221989.jpg
 
Dar Boko msikitini Arusha tuna deport pale Kisongo mikoa mingine unatumiwa au kwa ufupi zinaweza kukufikia mkoa wowote unaohitaji bei ya tofali ni 1000 kwa kila piece kwa mgodini size ya tofali kuna 5/8/15 inches na 5/8/18 pia kuna 6/8/15 na 6/8/18
 
Ikiwa DAR boko tofari moja bei gani?
 
Dar Boko msikitini Arusha tuna deport pale Kisongo mikoa mingine unatumiwa au kwa ufupi zinaweza kukufikia mkoa wowote unaohitaji bei ya tofali ni 1000 kwa kila piece kwa mgodini size ya tofali kuna 5/8/15 inches na 5/8/18 pia kuna 6/8/15 na 6/8/18

Mkiweka matangazo muwe mnaweka taarifa zote muhimu, sio hadi watu waanze kuwapigia simu...

Unauza tofali lakini huweki bei lets say ukiwa Holili inauzwaje, ukiwa Moshi, Arusha, Dar na kwingineko inauzwaje...

Je, minimum order ni piece ngapi?

N.k
 
Back
Top Bottom