Majengo yenu yana tabia ya kuanguka wakati ujenzi ukiendelea!
Tushangae nini flying toilet tena product ya kitheriMajirani msiende kushangaa Ulaya, njooni huku mtayaona ya kule.
Sasa ghorofa refu linasaidia nnKawaida yenu mkiona kitu njema Kenya lazima mlipake tope na kutumia kila aina ya neno ili kulidhalilisha. Nyinyi sio wa kwanza na hamtakuwa wa mwisho. Wakati mlijenga lile jengo lenu la TPA na ikawa ndio jengo refu zaidi hapa EA kwa wakati huo mnasahau jinsi liishabikia kwenye huu uzi? Acheni unafik!
Nyinyi wakati mlikuwa mnashabikia TPA ilikuwa inawasaidia na nini?Sasa ghorofa refu linasaidia nn
What is TPA mahnNyinyi wakati mlikuwa mnashabikia TPA ilikuwa inawasaidia na nini?
Inabidi mfanye hivyo maana ardhi yote inamilikiwa na mabwanyenyeMajirani msiende kushangaa Ulaya, njooni huku mtayaona ya kule.
Awesome progress.., can't wait for 2030 when we will be taking inventory of our progress nationwide vis a vis vision 2030.
Kwani hili jengo linajengwa wapi ushagoo au!!!????
Wala sio jengo moja....ni project ya majengo tisa yenye 34 floors.so inamaana hii project pekee itakua na majengo mengi yenye floors zaidi ya thirty kuliko Tz kwa ujumlaKwani hili jengo linajengwa wapi ushagoo au!!!????
Huu uzi ulianzishwa kwa sababu ya hii project yenye 44 floors....hadi sasa ujenzi umefikia hapa [emoji16][emoji16]Sorry aisee ndiyo naangalia huku juu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hili ndiyo Betty Kyallo huwa analitangaza?
Kuna kitu nilikuwa najiuliza, kwanini kila mnachojenga kinashindwa kubadili taswira ya mji wenu? Nafikiri hili swali Wakenya wengi including you mnajiuliza na jibu hampati, jibu lake ni moja kwamba elimu imeshindwa kumsaidia mkenya.Huu uzi ulianzishwa kwa sababu ya hii project yenye 44 floors....hadi sasa ujenzi umefikia hapa [emoji16][emoji16]View attachment 1906707View attachment 1906708
ehe look at you🙈,hukosangi kutoa machungu yako kukipostiwa anything Good about Kenya, because you can never reach our level,every month something new,hehehe🇰🇪✊Kuna kitu nilikuwa najiuliza, kwanini kila mnachojenga kinashindwa kubadili taswira ya mji wenu? Nafikiri hili swali Wakenya wengi including you mnajiuliza na jibu hampati, jibu lake ni moja kwamba elimu imeshindwa kumsaidia mkenya.
Vile waligundua tumewapiga kwa skyscrapers siku hizi wanaquestion maana yake. 🤣 🤣Nyinyi wakati mlikuwa mnashabikia TPA ilikuwa inawasaidia na nini?
Profile picture yako ni mkenya amesoma incase you forgotKuna kitu nilikuwa najiuliza, kwanini kila mnachojenga kinashindwa kubadili taswira ya mji wenu? Nafikiri hili swali Wakenya wengi including you mnajiuliza na jibu hampati, jibu lake ni moja kwamba elimu imeshindwa kumsaidia mkenya.
Majirani msiende kushangaa Ulaya, njooni huku mtayaona ya kule.