Jengo la 88 Nairobi ambalo litakuwa na ghorofa 44, zege limeanza kumwagwa kwenye foundation

Kwani hili jengo linajengwa baharini?!...[emoji52][emoji52][emoji706][emoji75][emoji75]
Design ya Burj Al Arab, although burj haiko katikati ya maji ka hiyo inavyoonekana. So hapo kwanza ni kujenga artificial island kwanza, itakayoweza kuzuia uzito wa hiyo structure. Mambo ya Emirates hayo, wamuulize mzungu ndio vituko vyake kwa anga za majengo ka haya!
 
Kuna kitu nilikuwa najiuliza, kwanini kila mnachojenga kinashindwa kubadili taswira ya mji wenu? Nafikiri hili swali Wakenya wengi including you mnajiuliza na jibu hampati, jibu lake ni moja kwamba elimu imeshindwa kumsaidia mkenya.
Hapo kwa elimu sasa! 🀣 🀣 🀣 πŸ‘‡
 
Blackouts KE, you're a big fool, huko kwenyu ndio taabu ya stima kupotea! 🀣 🀣 🀣 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…