Jengo la 88 Nairobi ambalo litakuwa na ghorofa 44, zege limeanza kumwagwa kwenye foundation

Sijawahi kuona msingi wa gholofa, lakini kwa umwagaji huo wa zege kweli 44 zitafika na kuwa imara?
 
Mpaka lije kuisha wakikuyu watakuwa wameiba sana...
 
Tukufahamishe tu.. nchi za magharibi wameacha kujenga haya magorofa kwani mengi yamebaki empty yanageuka kuwa magofu
Wewe upo hapa unajivuna na magorofa
Dunia inaenda kasi people work from home mabadiliko ya tabia nchi earthquake nk watu wamesitisha ujenzi wa aina hii..

Wakenya washamba malimbukeni
Jengeni zije kuishi ndege na popo
 
Wivu..Nani alikuambia hilo jengo litakua la ofisi?Unataka tuwache kujenga juu wnegine wameacha?Kila nchi liko na lengo lake la kujenga...kama walishindwa wacha sisi tujaribu..
 
Kama nyinyi zenu zimebaki mahame usidhani kwamba huku kwetu hazitapata wateja. Usilete laziness yenu kwa Kenya. Sisi ni watu aggresive na hili jengo litajaa. Kwanza hili hata sio office tower. Hili ni residential tower ya watu kuishi. Punguza kiherehere.
 
Pale Dar most towers hazina wateja ni popo wamefanya makao yao humo kwa wingi kulikoni? niko na intelligence kuhusu Dar mikononi mwangu😂😂😂😂🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…