Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kufumba kufumbua macho tyu paah! Vitu vimefika binguniJanuary updatesView attachment 2090324
How many floors so far?January updatesView attachment 2090324
My guess is 20/21 floorsHow many floors so far?
Ichoboy yule kijana wa ule wimbo wa "render" aje atoe povu sasaJanuary updatesView attachment 2090324
Jengo hili ndilo litakuwa tallest residential tower in Africa. Yaani jengo refu zaidi ya makaazi Africa. Kuna watu watakuwa wakiishi kuanzia floor ya chini hadi ya juu kabisa ya 44.
Jengo lenyewe litafanana hivi litakapokamilika
Video ya zege kumwagwa kwenye foundation ndio hii
Deni la China mmemaliza?
Mpka kufika gorofa ya 44 plus nimetoka kazini nina njaa ya kufa mtu, si nitafia njiani
kwa lift utatumia muda gan kufika??Kunakuwa na lift kibao mpwa
Hilo jengo floor zake nahisi ni fupi sanana maana kama hapo ni 26
Jengo hili ndilo litakuwa tallest residential tower in Africa. Yaani jengo refu zaidi ya makaazi Africa. Kuna watu watakuwa wakiishi kuanzia floor ya chini hadi ya juu kabisa ya 44.
Jengo lenyewe litafanana hivi litakapokamilika
Video ya zege kumwagwa kwenye foundation ndio hii
Wivu..Nani alikuambia hilo jengo litakua la ofisi?Unataka tuwache kujenga juu wnegine wameacha?Kila nchi liko na lengo lake la kujenga...kama walishindwa wacha sisi tujaribu..Tukufahamishe tu.. nchi za magharibi wameacha kujenga haya magorofa kwani mengi yamebaki empty yanageuka kuwa magofu
Wewe upo hapa unajivuna na magorofa
Dunia inaenda kasi people work from home mabadiliko ya tabia nchi earthquake nk watu wamesitisha ujenzi wa aina hii..
Wakenya washamba malimbukeni
Jengeni zije kuishi ndege na popo
Kama nyinyi zenu zimebaki mahame usidhani kwamba huku kwetu hazitapata wateja. Usilete laziness yenu kwa Kenya. Sisi ni watu aggresive na hili jengo litajaa. Kwanza hili hata sio office tower. Hili ni residential tower ya watu kuishi. Punguza kiherehere.Tukufahamishe tu.. nchi za magharibi wameacha kujenga haya magorofa kwani mengi yamebaki empty yanageuka kuwa magofu
Wewe upo hapa unajivuna na magorofa
Dunia inaenda kasi people work from home mabadiliko ya tabia nchi earthquake nk watu wamesitisha ujenzi wa aina hii..
Wakenya washamba malimbukeni
Jengeni zije kuishi ndege na popo
Pale Dar most towers hazina wateja ni popo wamefanya makao yao humo kwa wingi kulikoni? niko na intelligence kuhusu Dar mikononi mwangu😂😂😂😂🤣🤣🤣Tukufahamishe tu.. nchi za magharibi wameacha kujenga haya magorofa kwani mengi yamebaki empty yanageuka kuwa magofu