Jengo la 88 Nairobi ambalo litakuwa na ghorofa 44, zege limeanza kumwagwa kwenye foundation

Nipe mfano mmoja wa nilipoonesha nipo comfortable na Marekani kujenga majumba haya.

Facts nilizotoa against skyscrapers haziko Kenya specific. Zina apply hata Marekani sehemu yenye land.

Usi accuse bila ushahidi, weka ushahidi hapa.
 
Majirani msiende kushangaa Ulaya, njooni huku mtayaona ya kule.
Huu ndio msingi wa jengo la ghorofa 44! Liwekeni jengo hili kwenye orodha ya maghorofa yatakayo ndondoka siku za usoni.
 
Huu ndio msingi wa jengo la ghorofa 44! Liwekeni jengo hili kwenye orodha ya maghorofa yatakayo ndondoka siku za usoni.

Wabongo mumenivunja moyo, nilitegemea huu uzi utachezea kwenye kurasa ya kumi kwa povu zenu, mpaka sasa naona kurasa tatu tu, nendeni muitane mje, kila mmoja atokwe la kwake.
 

Mkopo wa treni bado mjamaliza kwa wachina
 
hongereni wakikuyu magufuli anaplani ya jengo la namna hii pahala fulani 50 floors
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…