Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Nenda huko na upuuzi wako. Mbona vitu vilikuwa vikionekana wakati wa mkwere hatukuona kitu. If there is any way one can easily tell lies, it is only through statistics so to speak. It is but lies, damned lies and statistics that can clearly show you the light my child.Hehehe!! Amin nakuambia kipindi cha Mkwere mngetukaribia ila sio hicho cha JPM, kikubwa alichokua anafanya alijua sana kutafuta umaarufu kwenye kida ndogo alilokua anafanya hadi msiojua kusoma takwimu za kiuchumi mnaona kama kweli ndio mumepata Masihi.
Kikwete alikua anatupiga mabao kimya kimya aisei, yaani ukuaji mpaka ulikua unachezea 8.2%