The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
Prove your claim ili niondoke jamii forums usiku huu.Profile picture yako ni mkenya amesoma incase you forgot
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Prove your claim ili niondoke jamii forums usiku huu.Profile picture yako ni mkenya amesoma incase you forgot
View attachment 1906846
Sio urefu tu na urembo pia, tunakuja jirani
Ni watanzania visiwaniWazanzibar ni watu wenye bidii sana, uzuri wao hawana chuki za kijinga kama kwenu, nawatakia kila la heri. Huwa nawapenda sana Wazenji na sku wataruhusu uraia pacha lazima nitakua wa kwanza kuwaomba tena bila kukata tamaa, niliishi kwao huko na kuwapenda sana kwa ukarimu wao.
Boss wacha kuongea matope. Hii River estate project pekee ina majengo marefu mengi kushinda Dar nzima. Na hata hatujaongea kuhusu GTC towers wala hii 88 tower. Na hapa nazungumzia residential towers pekee. Bado hata sijaanza kuzungumza kuhusu office towers kama akina Britam na UAP. So tuliza mwasho. Huu mchezo hautaki ujuaji mwingi.Kuna kitu nilikuwa najiuliza, kwanini kila mnachojenga kinashindwa kubadili taswira ya mji wenu? Nafikiri hili swali Wakenya wengi including you mnajiuliza na jibu hampati, jibu lake ni moja kwamba elimu imeshindwa kumsaidia mkenya.
Umeshasahau tayari ile ligi ya maghorofa marefu Dar ilishachapa Nairobi, au nikukumbushe mzee.Boss wacha kuongea matope. Hii River estate project pekee ina majengo marefu mengi kushinda Dar nzima. Na hata hatujaongea kuhusu GTC towers wala hii 88 tower. Na hapa nazungumzia residential towers pekee. Bado hata sijaanza kuzungumza kuhusu office towers kama akina Britam na UAP. So tuliza mwasho. Huu mchezo hautaki ujuaji mwingi.
Hili ni jengo gani?View attachment 1906846
Sio urefu tu na urembo pia, tunakuja jirani
Mtu kapagawa na jengo anaanza kuitoa Zanzibar from Tanzania mapemaaaa, Wakenya sisi watanzania sio washamba wa haya mambo ndio maana unaona vitu kama hivi hatuvifungulii uzi, hili hapa ni ghorofa refu zaidi East and Central Africa and the second tallest building in Africa, litajengwa Tz kwa gharama ya zaidi ya $1bn na wala hatujisifu [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1907045
wakenya kwa kupenda ligi WATACHORA THE TALLEST BUILDING IN AFRICA na wataliweka kenya.
Tuta tuta tuta. Sisi tunazungumza kuhusu ujenzi unaoendelea kwa ground na nyinyi mnapost hapa render. Hata hamna aibu.Mtu kapagawa na jengo anaanza kuitoa Zanzibar from Tanzania mapemaaaa, Wakenya sisi watanzania sio washamba wa haya mambo ndio maana unaona vitu kama hivi hatuvifungulii uzi, hili hapa ni ghorofa refu zaidi East and Central Africa and the second tallest building in Africa, litajengwa Tz kwa gharama ya zaidi ya $1bn na wala hatujisifu [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1907045
Linajengwa Tanzania hilo, litakuwa the second tallest building in Africa na litakuwa na ghorofa 70 na urefu wa mita 385, litagharimu zaidi ya $1bn.Hili ni jengo gani?
Wapi! Katafute mtu mwingine wa kudanganya. Saa hii Nairobi imeifunika Dar mara kadhaa kwa majengo marefu. Na hizi residential towers (88, River estate na zingine) zitakapokamilika sasa ndio hamtatuona kabisa.Umeshasahau tayari ile ligi ya maghorofa marefu Dar ilishachapa Nairobi, au nikukumbushe mzee.
Huo ni mchoro wa jengo jipya refu na kisasa zaidi katika ukanda huu linalokaribia kuanza kujengwa Zanzibar hivi karibuni. Bahati mbaya liko Tanzania na sio kenya.Hili ni jengo gani?
Hawapendi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huo ni mchoro wa jengo jipya refu na kisasa zaidi katika ukanda huu linalokaribia kuanza kujengwa Zanzibar hivi karibuni. Bahati mbaya liko Tanzania na sio kenya.
Lita lita lita. Tuta tuta tuta. Hii imekuwa wimbo wa chekechea. Sisi Wakenya hatupost render tunapost picha ya ujenzi wenyewe unavyoendelea.Linajengwa Tanzania hilo, litakuwa the second tallest building in Africa na litakuwa na ghorofa 70 na urefu wa mita 385, litagharimu zaidi ya $1bn.
Sasa mbn makasiriko bwana Tony, wewe si unatujua sisi akili kubwa na huwa hatuongopi!!Lita lita lita. Tuta tuta tuta. Hii imekuwa wimbo wa chekechea. Sisi Wakenya hatupost render tunapost picha ya ujenzi wenyewe unavyoendelea.
Uje upost mradi huo pindi tu ujenzi utakapoanza. Ila kwa sasa hatutaki hadithi za Abunuasi katika uzi huu. Hapa tunapost miradi ambayo ujenzi ushaanza pekee.Huo ni mchoro wa jengo jipya refu na kisasa zaidi katika ukanda huu linalokaribia kuanza kujengwa Zanzibar hivi karibuni. Bahati mbaya liko Tanzania na sio kenya.
dont worry upper hill will construct the 75 storey building called kingdom city achana na hiyo yao..Uje upost mradi huo pindi tu ujenzi utakapoanza. Ila kwa sasa hatutaki hadithi za Abunuasi katika uzi huu. Hapa tunapost miradi ambayo ujenzi ushaanza pekee.
Ni watanzania visiwani
Unatoa wapi nguvu ya kujibu watu malenge malenge kama hao?Tuta tuta tuta. Sisi tunazungumza kuhusu ujenzi unaoendelea kwa ground na nyinyi mnapost hapa render. Hata hamna aibu.