Jengo la Freemason Posta linafanyiwa marekebisho

OK, hapa nimekuelewa, nibadilishe maswali? Maana natamani kujua Hawa watu bila kujiunga
Freemason au wajenzi huru kwa kimatumbi, ni chama cha siri kinachofata maadili na kustawisha udugu miongoni mwa Wanachama,

Wanachofanya ni kumfanya Mwanachama aachane na maisha ya zamani na kuzaliwa upya kwenye itikadi zao,

Wakatoliki hawaruhusiwi kujiunga na chama hicho.
 


Walikuja jana kukopa mkopo 6.5m watakuwa ndo wamedunduliza na tusadaka twao labda tumefika 7.66m wakaona waanze.
 
Tupe nondo, mbona nasikia wanakaribisha dini zote, kwanini RC hawaruhusiwi?
 
Ni ukarabati wa kawaida.. Hiyo ni taasisi yenye nyaraka zote kwa muktadha wa kiimani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natamani kujua zaidi kutoka kwako mkuu wa kilinge
Ni jumuiya ya siri yenye wanachama wa kuchaguliwa kwa uangalifu mkubwa sana na baadhi ya vigezo ni
1. Uwezo was kifedha
2. Nidhamu ya hali ya juu kwenye kila kitu
3. Cycle ya watu wako
4. Usiri
5. Ukimya
6. Imani kwa Mungu
7. Rekodi zero ya kashfa na mambo ya kesi
8. Uwezo wa akili ( hawachukui watu wajingajinga
9. Heshima na adabu kwa watu wa kaliba zote
10. Kujituma kwenye kila kitu nknk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…