Jengo la Freemason Posta linafanyiwa marekebisho

Jengo la Freemason Posta linafanyiwa marekebisho

Nilikuwa najamaa yangu pale Sayona kama vibarua maisha yalitutandika hadi tukaenda kwenye hilo jengo Lao. Ukifika Nia na madhumuni yako unawaeleza walinzi getini wako poa na majibu yote ya namna ya kuunganishwa wanakueleza huwezi kujiunga wewe mwenyewe kisa unataka.
Nani anakuunganisha mkuu
 
Freemason au wajenzi huru kwa kimatumbi, ni chama cha siri kinachofata maadili na kustawisha udugu miongoni mwa Wanachama,

Wanachofanya ni kumfanya Mwanachama aachane na maisha ya zamani na kuzaliwa upya kwenye itikadi zao,

Wakatoliki hawaruhusiwi kujiunga na chama hicho.
Unamaanisha Wakatoliki ni wanachama tayari kwa Itikadi yao?
 
Liko posta sehemu gani? nikitaka kwenda kujiunga nitafanikiwa?
Pale hamna ofisi yenye mtu na huoni mtu hata siku moja

Hulitumia lini na saa ngapi huwezi jua
Hilo jengo lilikuwa jengo.linalotumiwa na bunge wakati wa mkoloni mwingereza wakati anatawala Tanganyika baada ya kupata uhuru ndio bunge likahamia jengo la Karimjee sasa liko Dodoma
 
Back
Top Bottom