Jengo la Freemason Posta linafanyiwa marekebisho

Unasema kiufupi wana nidhamu ya Hali ya juu na "integrity " isiyo na shaka lolote? Na vipi kuhusu kuchagua kwa umakini je watu wanaapply au wao wanachagua watu na kuwasimika?
 
Nilikuwa najamaa yangu pale Sayona kama vibarua maisha yalitutandika hadi tukaenda kwenye hilo jengo Lao. Ukifika Nia na madhumuni yako unawaeleza walinzi getini wako poa na majibu yote ya namna ya kuunganishwa wanakueleza huwezi kujiunga wewe mwenyewe kisa unataka.
 
Unasema kiufupi wana nidhamu ya Hali ya juu na "integrity " isiyo na shaka lolote? Na vipi kuhusu kuchagua kwa umakini je watu wanaapply au wao wanachagua watu na kuwasimika?
Wanakuwa picked baada ya kufanyiwa screening ya kutosha.. Kisha wanapewa ofa ya kujiunga ikiambatanishwa na faida mtu atakazipata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unatamani kujua nani anagharamia ujenzi kwani hilo hall linaendeshwa na nani??

Mkirekebisha misikiti na makanisa yenu nani anawachunguza na kutaka kujua gharama?

Na hizo taratibu wataka kuzijua ni za nini?
[emoji106][emoji106]
 
Moja ya jengo lilowahingia ndani na kuona kulivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…