Girland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2016
- 2,489
- 4,253
- Thread starter
- #61
Unasema kiufupi wana nidhamu ya Hali ya juu na "integrity " isiyo na shaka lolote? Na vipi kuhusu kuchagua kwa umakini je watu wanaapply au wao wanachagua watu na kuwasimika?Ni jumuiya ya siri yenye wanachama wa kuchaguliwa kwa uangalifu mkubwa sana na baadhi ya vigezo ni
1. Uwezo was kifedha
2. Nidhamu ya hali ya juu kwenye kila kitu
3. Cycle ya watu wako
4. Usiri
5. Ukimya
6. Imani kwa Mungu
7. Rekodi zero ya kashfa na mambo ya kesi
8. Uwezo wa akili ( hawachukui watu wajingajinga
9. Heshima na adabu kwa watu wa kaliba zote
10. Kujituma kwenye kila kitu nknk
Sent using Jamii Forums mobile app