Jengo la Freemason Posta linafanyiwa marekebisho

Hahahaha
Umenikumbusha sana mbali. Enzi hizo bwashee ndo wanauza chips pale jioni ya saa 1 inaelekea saa 2 usiku bwana akayokea kijana mmoja hivi akawa anataka kudumbukia ndani ya geti mlinzi akapambana nae sana jamaa akawa anamwambia niachie tu niingie mwanangu nitoboa sitakuacha hahahah daaah. Mlinzi alimkazia
Tuliacha kununua chips kumahangaa jamaaa.
 
Mkuu, Fanya yako, nasi tufanye yetu
Kila Mtu ashinde mechi zake

Sent from my Nokia G60 5G using JamiiForums mobile app
 
😀😀😀😀
 
Kitabu kizuri sana kile, ninacho alichosaini mwenyewe sir andy
 
kama uko vizuri kichwani unaweza kuwa mwanachama wao usihofu, kikubwa wakuone una ushawishi gani kwa watu
Absolutely. If it's for really nikienda huko hawataniacha hivi hivi niwe tu muwazi hapo hahah, sina tu harakat zinazo nifanya nipite maeneo hayo but ningali pita ofisin kwao.
 
Hawa Freemasonry Nina uhakika hawana nia njema kwa jamii yetu.

Ukiingia pale mjengoni kwao hawatoi ushirikiano kabisa.
Wanataka uondoke haraka kwenye eneo lao.

Sasa ni taasisi gani hiyo inayoificha jamii shughuri zake?
Tukisema wanafanya biashara haramu Kuna mtu atabisha?

Kama ni taasisi halari ni kwanini wanaficha shughuri zao wanazozifanya?

Dini gani halari haitaki waumini?
Hao ni Washenzi tu, ningekuwa kiongozi ningewaambia watangaze shughuri zao kwa jamii wazi wazi au kuwanyima kibali cha kufanya kazi zao Nchini.
 
Mwisho wa siku utasema ifungwe na imani yako wewe ndio iko sawa. Wakati na wao wanajiona wako sawa, ila hawashinikizi imani yako wewe isitishwe na kupiga picha sehemu yako ya imani ikifanyiwa ukarabati!!!
 
Mwisho wa siku utasema ifungwe na imani yako wewe ndio iko sawa. Wakati na wao wanajiona wako sawa, ila hawashinikizi imani yako wewe isitishwe na kupiga picha sehemu yako ya imani ikifanyiwa ukarabati!!!
Imani isiyotangazwa wazi ni imani za Kishirikina tu.
Katu Wachawi hawaweki wazi shughuri zao kwakuwa zinawadhulu Binadamu na wakisikia wata waadhibu vikali.
Na wauza madawa ya kulevya na biashara nyingine haramu
 
Imani isiyotangazwa wazi ni imani za Kishirikina tu.
Katu Wachawi hawaweki wazi shughuri zao kwakuwa zinawadhulu Binadamu na wakisikia watawa adhibu.
Na wauza madawa ya kulevya na biashara nyingine haramu
Imani yao iko wazi na ndio maana sehemu yao wa kuabudu iko wazi katikati ya mji na hawajazuiliwa.

Kama unataka kujiunga nao utafute ratiba zao utapata.

Kama hawana taratibu za kuweka sauti kubwa usiwalazimishe. We fanya yako wao wafanye yao!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…