DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
[emoji28][emoji28][emoji1787]Toka nianze kupita sioni mtu anaingia au kutoka sijui wanaendaga saa ngapi humo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji28][emoji28][emoji1787]Toka nianze kupita sioni mtu anaingia au kutoka sijui wanaendaga saa ngapi humo
Freemasonry ni club ya wane zi. Haina tofauti na rotary club au lion club.Ni kawaida kukarabati, lakini swali ni je unawajua wanachama wa taasisi hiyo? Mikutano yao ikoje?
Hao clubs ndio wenyewe Sasa,Freemasonry ni club ya wane zi. Haina tofauti na rotary club au lion club.
Mkuu, Fanya yako, nasi tufanye yetuJengo la Freemason hall lililopo posta mpya linafanyiwa marekebisho, kumekuwa na uvumi mwingi kuhusu hao jamaa (masons), natamani kujua nani analipia gharama za ujenzi?
Je nani aliyewakabidhi kulirekebisha ni wanachama wenyewe au? Je kwa Tanzania taratibu zao zimekaaje?
Aione Mshana Jr na GENTAMYCIME kalemera.
Hata Maxence Melo anaweza kutoa ufafanuzi.
View attachment 2777860
😀😀😀😀Hahahaha
Umenikumbusha sana mbali. Enzi hizo bwashee ndo wanauza chips pale jioni ya saa 1 inaelekea saa 2 usiku bwana akayokea kijana mmoja hivi akawa anataka kudumbukia ndani ya geti mlinzi akapambana nae sana jamaa akawa anamwambia niachie tu niingie mwanangu nitoboa sitakuacha hahahah daaah. Mlinzi alimkazia
Tuliacha kununua chips kumahangaa jamaaa.
unasemaje? Rudia tenaUnamaanisha Wakatoliki ni wanachama tayari kwa Itikadi yao?
Hapo kuna ma senior na ma juniorN
Ndio wamiliki au
Kitabu kizuri sana kile, ninacho alichosaini mwenyewe sir andyHawa jamaa enzi za siasa za ujamaa Nyerere hakutaifisha majengo yao licha kujua uwepo wao na hakuwa mwanachama wao. Waliomfuata walionekana wakipiga picha pamoja katika hafla zao. Kuna kitabu kiliandikwa na kiongozi wa freemason Tanzania kinaitwa Journey from Bukene, kuna mambo ya kujua kuhusu jumuiya hii.
Absolutely. If it's for really nikienda huko hawataniacha hivi hivi niwe tu muwazi hapo hahah, sina tu harakat zinazo nifanya nipite maeneo hayo but ningali pita ofisin kwao.kama uko vizuri kichwani unaweza kuwa mwanachama wao usihofu, kikubwa wakuone una ushawishi gani kwa watu
Hicho kitabu kimehusu nini hasa ?Kitabu kizuri sana kile, ninacho alichosaini mwenyewe sir andy
Mwisho wa siku utasema ifungwe na imani yako wewe ndio iko sawa. Wakati na wao wanajiona wako sawa, ila hawashinikizi imani yako wewe isitishwe na kupiga picha sehemu yako ya imani ikifanyiwa ukarabati!!!Jengo la Freemason hall lililopo posta mpya linafanyiwa marekebisho, kumekuwa na uvumi mwingi kuhusu hao jamaa (masons), natamani kujua nani analipia gharama za ujenzi?
Je nani aliyewakabidhi kulirekebisha ni wanachama wenyewe au? Je kwa Tanzania taratibu zao zimekaaje?
Aione Mshana Jr na GENTAMYCIME kalemera.
Hata Maxence Melo anaweza kutoa ufafanuzi.
View attachment 2777860
Imani isiyotangazwa wazi ni imani za Kishirikina tu.Mwisho wa siku utasema ifungwe na imani yako wewe ndio iko sawa. Wakati na wao wanajiona wako sawa, ila hawashinikizi imani yako wewe isitishwe na kupiga picha sehemu yako ya imani ikifanyiwa ukarabati!!!
Imani yao iko wazi na ndio maana sehemu yao wa kuabudu iko wazi katikati ya mji na hawajazuiliwa.Imani isiyotangazwa wazi ni imani za Kishirikina tu.
Katu Wachawi hawaweki wazi shughuri zao kwakuwa zinawadhulu Binadamu na wakisikia watawa adhibu.
Na wauza madawa ya kulevya na biashara nyingine haramu