Jengo la Freemason Posta linafanyiwa marekebisho

Jengo la Freemason Posta linafanyiwa marekebisho

Makadirio ya idadi ya viti? Je kuna sehemu wanapitia kuingia au hapohapo kwenye geti lao
Watakuwa na sehemu wanakoingilia hakujulikani sababu huwezi waona wakiingia wala kutoka au labda huingia usiku sana kukiwa hakuna watu
 
Mna swali kidogo
Mmelijuaje kama ni jengo la hao mabwana, au limeandikwa,
Freemasons_Hall,_Dar_es_Salaam.jpg
 
Jengo la Freemason hall lililopo posta mpya linafanyiwa marekebisho, kumekuwa na uvumi mwingi kuhusu hao jamaa (masons), natamani kujua nani analipia gharama za ujenzi?

Je nani aliyewakabidhi kulirekebisha ni wanachama wenyewe au? Je kwa Tanzania taratibu zao zimekaaje?
Aione Mshana Jr na GENTAMYCIME kalemera.

Hata Maxence Melo anaweza kutoa ufafanuzi.

View attachment 2777860
...Naona Hata Picha TU umeipiga Kioga... !!
 
Jengo la Freemason hall lililopo posta mpya linafanyiwa marekebisho, kumekuwa na uvumi mwingi kuhusu hao jamaa (masons), natamani kujua nani analipia gharama za ujenzi?

Je nani aliyewakabidhi kulirekebisha ni wanachama wenyewe au? Je kwa Tanzania taratibu zao zimekaaje?
Aione Mshana Jr na GENTAMYCIME kalemera.

Hata Maxence Melo anaweza kutoa ufafanuzi.

View attachment 2777860
Gharama za ujenzi wa nyumba za ibada huwa nani anagharamia.

Hata huyo Maxence Melo kwenye ule uzi wake ni hearsay stories pengine sio member, huwezi kuandika taatifa za imani fulani nakuziita za kwenye wakati wewe sio muumini wa hiyo imani
 
Watanzania wana uoga wa kindezi sana.
Ukitaka kuwa member wa Freemason nenda direct pale mjengoni. Ukitaka kuuliza jambo lolote kuhusu Freemason nenda kawaulize
Ujinga huu ndio maana watu wanawatapeli mitandaoni.
Tena huyo tapeli mwenyewe naye ni mwoga hata kusogeza kwato pale hawezi
Anadunduliza picha za mitandaoni anapost anawapata wajinga.
 
Unasema kiufupi wana nidhamu ya Hali ya juu na "integrity " isiyo na shaka lolote? Na vipi kuhusu kuchagua kwa umakini je watu wanaapply au wao wanachagua watu na kuwasimika?
Wao ndio huwa wanachagua, ni ngumu sana kusema uapply, kwa sababu ya ugumu wa vigezo na masharti waliyoweka/ jiwekea.

Na ikitokea wamekufata wale mabwana, fahamu fika kabisa walikuwa walikuwa wanakufatilia nyendo zako zote/wamekufatilia mda mrefu lifestyle yako kwa ujumla.
 
Back
Top Bottom