Elections 2010 Jengo la Machinga ni hatari kwa binadamu: Wakaguzi

Elections 2010 Jengo la Machinga ni hatari kwa binadamu: Wakaguzi

Jamani ile sera ya JK ya kujenga Machinga Complex zaidi ni mpango wa mfuko wa jamii NSSF wa muda mrefu ambao JK ameuchukua kuufanya ni sera yake. Nitakuja na data zaidi
 
Duh! hii kali. ndo aliyosema Slaa kwamba JK anaahidi vitu ambavyo Rais yeyote akiingia madarakani atatekeleza.
 
Yaani
wakati mh rais anaongea hili sikutarajia watu kama wangeruka ruka na kushangilia la hasha pengine ingekuwa wakati muafaka wa kumuuliza je kama moja imeisha kwa miaka mitano hizi sita sio utapeli ???hata wale wanamahesabu kuna kitu kinaitwa cross multiplication

1=5
6=x
ukicross multiplication unapata x=6*5=30yrs
huyu bana pengine hatokuwepo hata dunia simwombei baya..

Si mbaya tukasaidiana jamani tuwasikilize tuchuje na tujitahdi kuchagua wale unaoona wana sera zenye kuendelza taifa letu..msidanganywe kama watoto wadogo machinga moja imegawiwa bila hata kuisha ndani mpaaka leo hii wameshindwa hata kuhamia hao wamachinga wenyewe...leo hii kikwete weweunadanganya kujenga tano labda uzijengee bagamoyo kwa kupuliza
 
Adanganye wacheza mchiriku wa Pwani tu.

Kwingineko Tanzania Bara hawezi kuahidi upupu kama huo.

Uliza kauli yake ya kuigeuza Kigoma kuwa Dubai na kununua meli kubwa ziwa Victoria zinavyomuandama kama jinamizi
 
machinga complex haikujengwa kwa pesa za serikali....kiwete acha kudanganya watu...!

infact pamoja na udom ..ni pesa za hifadhi za jamii ndo zinajenga...!
 
huyu rais wenu jamani kuna mtu mwenye data ya ahadi zake mpaka sasa zimefika ngapi na ni zipi ili tuzichambue kuanzia uwezekano wa kuzitekeleza, gharama zake na muda wa utekelezaji huo. pia hivyo hivyo kwa mtu mwenye data ya ahadi za MHE Dr. Slaa (PhD ya Ukweli) naye aziwasilishe hapa. nadhani hii itatusaidia sisi kama wafuatiliaji na wachambuzi wa hoja.
naomba kuwasilisha
 
chamsingi ni jengo kuwa tayari na kufanya kazi iliyokusudiwa na limeetekelezeka, ndio maana ya utawala kama asingefanyia kazi ndo ungelalamika, kwa sasa hilo ni goal tayari, bye
 
chamsingi ni jengo kuwa tayari na kufanya kazi iliyokusudiwa na limeetekelezeka, ndio maana ya utawala kama asingefanyia kazi ndo ungelalamika, kwa sasa hilo ni goal tayari, bye

Hivi unadhani ile Machinga pale Ilala imefanya kazi iliyokusudiwa? Una hakika na unalolisema? Na kwa nini aahidi vitu ambavyo si yeye aliyeviratibu. Hii Rais yeyote angeikuta tu. NSSF ni fedha za wavuja jasho
 
chamsingi ni jengo kuwa tayari na kufanya kazi iliyokusudiwa na limeetekelezeka, ndio maana ya utawala kama asingefanyia kazi ndo ungelalamika, kwa sasa hilo ni goal tayari, bye

Jengo kuwa tayari kwa means zipi? Idea ni ya nani? Kwa manufaa yapi na ya nani? Goal linaweza kuwa lakujifunga mwenyewe....in this case mmejifunga
 
Yaani huyu mgonjwa anatumia hela zetu za NSSF kujipatia maujiko? Sisi wanachama na wachangiaji wa mifuko hii ya hifadhi hatunufaiki na fedha zetu kwani wana siasa na mafisadi wenzao kama kina Manji ndiyo wananufaika.Ole wako JK na genge lako Mkombozi na Dr wa ukweli Slaa ameahidi akiingia madarakani fedha za mifuko ya hifadhi ya jamii zitawanufaisha kwanza wanachama.
 
machinga complex haikujengwa kwa pesa za serikali....kiwete acha kudanganya watu...!

infact pamoja na udom ..ni pesa za hifadhi za jamii ndo zinajenga...!
hiyo ni kweli mkuu na anaacha madeni tuuuuu!
 
The fact kuwa na wamachinga, hilo ni tatizo. Vijana wengi wamekosa ajira na wameishia mijini kufanya biashara hizo. Wengi wao ni ma agent wa Wahindi ambao huwapa hizo bidhaa na wao wanapewa commission tu. Vijana hawa ni nguvu kazi kubwa, ambayo kama ingetumiwa vizuri, ingesiaida kuinua uchumi wa nchi yetu.
 
You are right mkuu! Ni tatizo kubwa kwa rais wa nchi kupigia debe umachinga badala ya kutafuta mbinu mbadala za kuwapa vijana ajira za uhakika.
 
Duh! watanzania kweli vichwa, maana ni kweli hiyo moja imechukua 5 years , sasa 6 miaka mingapi? na amebakiwa na na muda gani wa kufanya hivyo? miaka 30? maana 6 mara 5 ni 30.
Haya ukija meli kubwa huko ziwa victoria inabidi tufanye uchambuzi, je inachukua muda gani kutengeneza hiyo Meli, na je hiyo order ameisha iweka? maana kwa jinsi serikali yake inavyo fanya kazi hiyo order tu itachukua miaka mitano, halafu baada ya hapo wanaweza wakalipa hela na adhabu juu(iwe penaly au faini) na meli mwisho wa siku wakaiacha.. rejea issue ya vitambulisho na wale jamaa wa Kenya toka wakati/kipindi cha Mwinyi, akaja Mkapa na sasa Kikwete akisaidiana na Masha/membe, vitambulisho bado ni gumzo na hela tulisha lipa kwa mkandarasi wa kwanza na nyumba tulijenga, sasa tuna msubiri huyu mkandarasi wa Sasa, nafikiri tutanunua ndege zetu na kuwa na ka-ATC ketu, ndege ya Masha ni dar-Mza, na Membe ni Lindi-Dar, ya muheshimiwa ni Bagamoyo-to Ulaya-Amerika-far east-Carebean nk. akiwa nchini anawaambia tu dogo masha au membe mi nataka kufika kijijini kidogo, basi wanatoa ndege zao.
 
Kwa ufupi anatangaza miradi ya wafanyakazi na vyama vyao. Kweli nchi yangu ni mfu bado kuzikwa tu
 
Hivi Hamjui Kwamba NSSF Iliandaa Mpango wa Kujenga Barabara Zote zinazounganisha Wilaya Zote Tanzania kwa Kiwango Cha Rami. ili serikali ilipe Taratibu kwa Miaka 20.Serikali Ikatia Zengwe?? Vibofa waliona Mpango Huo Ungewazibia FURSA za Kual Kwenye Kazi Za Kukarabati Barabara Kila Mwaka
 
Hivi kuna mfanyakazi yoyote mwenye akili timamu ambaye atamchagua JK ili akateketeze fedha ya michango yetu ya hifadhi ya jamii kwa kujipatia sifa za kijinga?Jamani wafanyakazi wote tuunganishe nguvu tumpige chini huyu msanii ili tuweze kupata manufaa ya fedha yetu tunayochangia kwenye hii mifuko kama vile kupata mikopo, kujengewa nyumba za bei nafuu ambazo tutakopeshwa kwa dhamana ya michango yetu. KATAA HUJUMA YA MICHANGO YETU KWA KUMPIGIA KURA DR SLAA.
 
kilichinifanya niandike ni pale
nilipomuona adam kimbisa akijisifia kuwa
machinga complex ni ubunifu wake.....kama vile ni jambo la maana...
Wakati mimi naona ni ujinga mtupu..........
Siyo hivyo tu mkuu mimi jana nimepita pale pamepooza kweli nibora wangeweka vyumba vikubwa kabisa kuliko kuweka mabanda ya kufugia kuku! Nashangaa hata pale wanapotaka kujenga mengine tena!
 
Back
Top Bottom