Kama hayo madini hayakuweza kutusaidia tulipohitaji haki na uhuru hayana maana. Jamaa ni mjinga tuHahahaha, Prof kawa mdogo sana sasa hivi! Ila mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, Prof ana madini mengi sana kichwani
Hakustahili kupewa madaraka makubwa kama ya urais,alifaa kwenye nafasi ambazo kuna mtu wa kumdhibiti pale inapoonekana anaboronga.Alitaka kulibomoa alipokuwa waziri, JK na Pinda wakamzuia! Alipopata Uboss akabomoa makusudi ili kuwaonesha yeye ni nani!! Kati ya dhambi CCM hawatakuja kusamehewa ni kutuletea yule jamaa awe Rais wetu
Dah!!Alitaka kulibomoa alipokuwa waziri, JK na Pinda wakamzuia! Alipopata Uboss akabomoa makusudi ili kuwaonesha yeye ni nani!! Kati ya dhambi CCM hawatakuja kusamehewa ni kutuletea yule jamaa awe Rais wetu
mzilankende ndo maana yake nini
Legacy ya kubomoa?Mnajifanya mnataka kupoteza legacy.......
ushuzi kweli huu....
Enzi za Magufuli wakitaka kukata umeme walikuwa wanatoa notice ,wanakata saa ngapi, kwa nini na maeneo yapi.Kuna wapumbavu wengi sana walivumisha hilo jengo la Lowasa ...matokeo yake ndo amri za kulivunja wakijua wanamkomoa Lowasa..
Hiii nchi upumbavu Una nguvu kuliko akili
Na kujengaLegacy ya kubomoa?
ata sijaelewa mkuu mm mtu wa rufijiUsituvuruge Wewe
Akiwa Kayanga Karagwe Huko Ni Kwa Wazilankende
Akiwa Chettle, Mwanza Ni Ngosha Chapa Ng'ombe
Mzilankende Oops
Wakati Mwingi Unakosa Jibu
Aliyatumia kumpiga kamba jamaa yetu, alikuwa anamwamini balaaKama hayo madini hayakuweza kutusaidia tulipohitaji haki na uhuru hayana maana. Jamaa ni mjinga tu
Mtafute Bwege Atakwambia Maana Ya Mzilankendeata sijaelewa mkuu mm mtu wa rufiji
Msemakweli Ni Mpenzi Wa MunguMzilankende alizingua sana...Huo Ndiyo Ukweriiii.
Mbona Sheria Mzilankende Aliitumia KimaraKisheria ilikuwa sahihi kulibomoa au alivunja sheria?
Huyo jamaa alikuwa anajali sheria? Yeye alikuwa ni kanyaga twende! Unajua huku chini tunalalamika sana kuhusu jamaa, ila chamoto walikuwa wanakiona akina Majaliwa na mawaziri wake, jamaa alikuwa hana staha kabisa, anatukana kila mtu!! Leo hii unapomsikia Majaliwa anakomaa Samia aendelee hadi 2030 ni kwamba haamini hii ahueni aliyopata, and hataki kusikia or kuona mambo waliyopitia yanajirudia 2025! Na 2030 watafanya kila aina ya figisu asiingie tena mtu wa type ya MarehemuKisheria ilikuwa sahihi kulibomoa au alivunja sheria?
Hilo ndilo swali la msingi.Kisheria ilikuwa sahihi kulibomoa au alivunja sheria?
Marais kama Samia/Kikwete/Mkapa/Mwinyi hawawezi! Ila huyu aliyepita aliwezaHilo ndilo swali la msingi.
Na je Rais ana uwezo kwa utashi wake tu kufanya apendavyo?
Kwani Kuna ambaye alionewa huko kimara , kama yupo aende mahakamani kudai haki yake. Mimi nachojua ni kwamba wa kimara walienda mahakamani kupinga wakashindwa.Huyo jamaa alikuwa anajali sheria? Yeye alikuwa ni kanyaga twende! Unajua huku chini tunalalamika sana kuhusu jamaa, ila chamoto walikuwa wanakiona akina Majaliwa na mawaziri wake, jamaa alikuwa hana staha kabisa, anatukana kila mtu!! Leo hii unapomsikia Majaliwa anakomaa Samia aendelee hadi 2030 ni kwamba haamini hii ahueni aliyopata, and hataki kusikia or kuona mambo waliyopitia yanajirudia 2025! Na 2030 watafanya kila aina ya figisu asiingie tena mtu wa type ya Marehemu
Tahira mwenzako huyu hapa....Enzi za Magufuli wakitaka kukata umeme walikuwa wanatoa notice ,wanakata saa ngapi, kwa nini na maeneo yapi.
Kwa nini sasa hivi hawatoi notice?
Lakini huu utendaji wa Makamba
ndio unaoshangiliwa sana na Chadema ila uzuri umeme ukikatika hauchagui chama wote biashara zinadoda.