Jengo la TANESCO Chato, kubwa kuliko la Wilaya Temeke lenye wateja milioni na nusu

alifocuss mbali kwani chato itaendelea kuwa ndogo mpaka ln?huo ni uwekezaji mzuri baada ya miaka mitano au kumi chato haitakuwa ndogo bali itakuwa kubwa.
Kweli umewaambia ukweli, wenyewe wamakalia Dar- Temeke utadhani sehemu nyingine sio Tanzania
 
huo ni ukosefu wa mawazo chanya au uvivu wa kufikiri na mihemuko ya kisiasa hivi kwa akili ndogo tu huwezi kulinganisha mwaka 1961 temeke ilikuwa na watu wangapi na sassa hivi wapo hao milion + wataalamu kwakuliona hilo wakapiga maesabu ili wasijekubomoa kujenga lingine baada ya muda ijengwe lakudumu kukidhi matakwa ya miaka mingi mblele yaani chadema watakuja kututia hasara tu nchi hii maana hawaangali mbele wao wanaagalia sasa tu siasa zenu za maji taka
 
Hivi ile trillion 1.5 iliishia wapi? Huko sio kujilimbikizia mali kweli? Na vipi uwanja wa chato kujengwa na mayanga je kampuni ya mayanga haina interest za magufuli?
ulitaka mayanga akajenge wapi naye ana kampuni ya kujenga asiombe kazi kisa anajuana na jpm? stupid
 
chato ina wakazi elfu 28, angalia kwamakini hio takwimu yako mkuu
 
hii hospitali inaweza kuhudumia mpaka mikoa jirani mbona hamsemi kwanini wamejenga mloganzila nje ya mji wa dar kwanini wasiyajaze tu hapo muhimbili? mue mnarison kuwa chadema siyo kuwafanye kuwa hamna akili kiasihicho
Hao ni wajinga! Ukicheki chato kutoka mwanza ni zaidi ya kilometer 300 lakini kutoka kasulu, kibondo ,karagwe ,bukoba na kutoka geita watu ni wengi sana sio chini ya milioni nne wanaishi geita, kagera na kigoma ya kibondo,kakonko, na kasulu kwa hiyo hiyo hospital iko sawa kabisa kukaa hapo! Kwa nini hawahoji mloganzila kujenga karibu na dar ambayo in hospitable tayari ya muhimbili na hospital za wilaya ukiachilia mbali hospital binafsi na wakazi wa Dar wako miliom 5 au sita! Nyie CHADEMA acheni upumbavu kuishi dar sio kuwa wewe ni binadamu na unahitaji special treatment! Watu wengine mnadanganya humu kuwa chato ina watu 28,000 wakati sensa inaonesha mwaka 2012 chato ilikuwa na watu 350,000!
 
Hivi wewe kumbe ni mruguru ndo maana mmehamishwa mjini hapo morogoro, akili hizi unatememea mtakuwa nalakufanya hapo endeleene kukaa huko milimani kama ngedere!
 
mkuu umeeleza vizuri sana waache upumbavu wao
 
hii hospitali inaweza kuhudumia mpaka mikoa jirani mbona hamsemi kwanini wamejenga mloganzila nje ya mji wa dar kwanini wasiyajaze tu hapo muhimbili? mue mnarison kuwa chadema siyo kuwafanye kuwa hamna akili kiasihicho
Sawa mkulima wa Chato, mheshimiwa, tunarison!
 
Mji wa Chato una wakazi 27,7776.

Mji wa Chato una wakazi 27,7776.

Mji wa Chato una wakazi 27,7776.
Hapana
Mji wa Chato una wakazi 27,7776.
Ukweli wa upendeleo uliokithiri unafunuliwa na wananchi.
Ajabu TAKUKURU nao walitaka kujenga jengo kubwa CAHATO muheshimiwa akakataa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…