View attachment 1944399
Jengo la TANESCO Chato, wilaya yenye wakazi 28,000 tu, ni kubwa kubwa kupitiliza.
Wilaya ya Temeke ina wakazi milioni moja na nusu, lakini hakuna jengo la kutisha na huduma inaendelea.
Hizo ndio zilikuwa sera za upendeleo maalum Chato, alizoanzishwa na Mwendazake na henchman Kalemani.
Kwa hili kwa kweli Kalemani ashitakiwe kwa uhujumu uchumi na matumizi mabaya ya madaraka.
YALIYOJIRI
Waziri Mkuu amekataa kupokea jengo la TANESCO huko Kyerwa, Kagera.
Waziri Mkuu kwa maslahi ya Tsifa tembelea jengo la Chato.