Bahati haiji mara mbili.Ngoja 2025 ipite kwanza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bahati haiji mara mbili.Ngoja 2025 ipite kwanza.
Kwanini waishi humo ikiwa wanalipwa mishahara na housing allowance? Kwanini watumishi wa sekta nyingine hawapewi hiyo huduma na kwanini Chato pekee?ilo jengo limejengwa kwa ajili ya Ofisi na pia kwa ajili ya wafanyakazi kuishi na familia zao, wafanyakazi wote wa Tanesco hapo Chato wataishi ndani ya ilo jengo.
Taasisi zingine nazo ziige huu utaratibu.
Washamba ndivyo waliwao!Ila hawa jamaa walikuwa wapuuzi kupitiliza sasa jengo kama hilo manufaa yake ni yapi
Yaani badala ya kusambaza umeme wenyewe wakajenga jengo kubwa la Tanesco
Kumbe ndio maana kuna kipindi Zitto aliwahi kusema kuwa tumechagua washamba & malimbukeni
Mkuu si upuuzi tu, ni ufisadi.Ila hawa jamaa walikuwa wapuuzi kupitiliza sasa jengo kama hilo manufaa yake ni yapi
Yaani badala ya kusambaza umeme wenyewe wakajenga jengo kubwa la Tanesco
Kumbe ndio maana kuna kipindi Zitto aliwahi kusema kuwa tumechagua washamba & malimbukeni
We mpumbavu nini?We mjinga nini, nawe ushitakiwe kwa kushindwa kufikiri.
Wewe nfio mpumbavu maana kwa watu 28,000 wa Chato ambao 99% ni wakulima opputunity cost ya jengo na matumizi yake baada ya hiyo miaka 30 ni sawa na sifuri.We mpumbavu nini?
Wenzio wametizama miaka 30 mbele, unataka lijengwe dogo ili miaka 15 baadae wabomoe wajenge Tena?
Ardhi ya Chato iko Tanzania kwani kuna ubaya gani!?View attachment 1944399
Jengo la TANESCO Chato, wilaya yenye wakazi 28,000 tu, ni kubwa kubwa kupitiliza.
Wilaya ya Temeke ina wakazi milioni moja na nusu, lakini hakuna jengo la kutisha na huduma inaendelea.
Hizo ndio zilikuwa sera za upendeleo maalum Chato, alizoanzishwa na Mwendazake na henchman Kalemani.
Kwa hili kwa kweli Kalemani ashitakiwe kwa uhujumu uchumi na matumizi mabaya ya madaraka.
Unaweza ukashangaa umeshitakiwa wewe kwa kesi ya huyo kalemani, au ukapewa kesi ya ubakaji na ulawiti kwa kibinti cha kidato cha pili.Wewe nfio mpumbavu maana kwa watu 28,000 wa Chato ambao 99% ni wakulima opputunity cost ya jengo na matumizi yake baada ya hiyo miaka 30 ni sawa na sifuri.
Ulafi na upendeleo ndio unawasumbua nyie kizazi cha nyoka wa Chato.
Kalemani lazima ashitakiwe kwa matumizi mabaya ya madaraka.
Syo swala la ardhi kuwa tanzania ni je ukubwa wake unaendana na idadi ya watu litakaowahudumia?Ardhi ya Chato iko Tanzania kwani Luna ubaya gani!?
Tujenge hoja hujui kuwa kuna population growth and development!? Sisi tunaangalia future economic strategySyo swala la ardhi kuwa tanzania ni je ukubwa wake unaendana na idadi ya watu litakaowahudumia?
View attachment 1944399
Jengo la TANESCO Chato, wilaya yenye wakazi 28,000 tu, ni kubwa kubwa kupitiliza.
Wilaya ya Temeke ina wakazi milioni moja na nusu, lakini hakuna jengo la kutisha na huduma inaendelea.
Hizo ndio zilikuwa sera za upendeleo maalum Chato, alizoanzishwa na Mwendazake na henchman Kalemani.
Kwa hili kwa kweli Kalemani ashitakiwe kwa uhujumu uchumi na matumizi mabaya ya madaraka.
Vizur Mkuu ukweli mtupu ,tatizo vijana wanaendeshwa na siasa kuliko uhalisia ,MTU anapinga maendeleo bila reason ya msingi..Wakazi elfu 28...ilipataje hadhi ya kua wilaya?
au ndo tunatafta ht point za kuokoteza ilimradi ku make a point?
According to sensa ya 2012 chato ina wakazi 365,000 now wanaweka kua wamefika 500,000.
Point nzuri ila unapoweka na uongo inaondoa integrity na authentic ya habari husika na kuifanya iwe km soga, majungu au fitina visivyo na mantiki.
Natumaini kuanzia Bunge watsona huu wizi wa kuaminiwa.Unaweza ukashangaa umeshitakiwa wewe kwa kesi ya huyo kalemani, au ukapewa kesi ya ubakaji na ulawiti kwa kibinti cha kidato cha pili.
Ukae kwa kutulia kijana.
Marehemu alikua mtu wa hovyohovyo,alifikiria kujaza majengo huko kichakani kwao ni kukuza uchumi,wakti kawaacha watu wake bado makapurwa tuView attachment 1944399
Jengo la TANESCO Chato, wilaya yenye wakazi 28,000 tu, ni kubwa kubwa kupitiliza.
Wilaya ya Temeke ina wakazi milioni moja na nusu, lakini hakuna jengo la kutisha na huduma inaendelea.
Hizo ndio zilikuwa sera za upendeleo maalum Chato, alizoanzishwa na Mwendazake na henchman Kalemani.
Kwa hili kwa kweli Kalemani ashitakiwe kwa uhujumu uchumi na matumizi mabaya ya madaraka.
Awamu ya Tano awamu ya wezi wa kuaminiwa na walaghai.Wakazi elfu 28...ilipataje hadhi ya kua wilaya?
au ndo tunatafta ht point za kuokoteza ilimradi ku make a point?
According to sensa ya 2012 chato ina wakazi 365,000 now wanaweka kua wamefika 500,000.
Point nzuri ila unapoweka na uongo inaondoa integrity na authentic ya habari husika na kuifanya iwe km soga, majungu au fitina visivyo na mantiki.
na watu wote wanaojadili kwa mihemko hii hoja bila kupata data kamili now wanakua wamekosa weledi..
unaweza kudhibitisha kua Chato ina watu 28,000?na km ina watu hao iliwezaje kupata hadhi ya wilaya?au hujui ht vigezo vya kua wilaya?Awamu ya Tano awamu ya wezi wa kuaminiwa na walaghai.
Miradi imelundikwa kwa watu 28,000 bila ridhaa ya bunge..Huu wizi wabunge wetu wamelaka?
Mwulize mwendazake anajua kila kitu.unaweza kudhibitisha kua Chato ina watu 28,000?na km ina watu hao iliwezaje kupata hadhi ya wilaya?au hujui ht vigezo vya kua wilaya?
Na ni nani alikuambia miradi ya mashirika ya uma inapitia bungeni?