KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Ngoja 2025 ipite kwanza.Mama anachelewa lini atajenga airport kijijini kwake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja 2025 ipite kwanza.Mama anachelewa lini atajenga airport kijijini kwake
Kwa nini kuchelewa?Ahukumiwe kabla ya kushtakiwa.Naunga mkono hoja.
Huu ni ufisadi.
Kalemani ashitakiwe.
Mikoa 'haifunguliwi' kienyeji hivyo, ingekuwa ni hivyo airport ya chato ingeshaufungua huo mkoa.Sioni shida, ni namna ya kufungua mikoa ambayo imeachwa nyuma kimaendeleo.
Hata Pinda alijenga airport Katavi, kwa wkati ule ilionekana ni anasa ila kwa sasa ni uwekezaji mzuri.
Kuna ubaya gani kujenga jengo kama hilo Chato?
Huu ufisadi ulikuwa unafichwa fichwa sasa Mwendazake hayupo ndio ukweli unaanza kuonekana.Kwa nini kuchelewa?Ahukumiwe kabla ya kushtakiwa.
Sioni shida, ni namna ya kufungua mikoa ambayo imeachwa nyuma kimaendeleo.
Hata Pinda alijenga airport Katavi, kwa wkati ule ilionekana ni anasa ila kwa sasa ni uwekezaji mzuri.
Kuna ubaya gani kujenga jengo kama hilo Chato?
Huwezi kulinganisha mchango wa maendeleo wa mkoa wa Geita na Mtwara.Rais Mstaafu Mkapa alikuwa Rais kwa miaka 10 lakini hakuna hata airstrip ya kutua ndege ndogo wala chopper Masasi kwake! Baba wa taifa alikuwa Rais kwa miaka 23 lakini kijijini kwake hakuwahi kuweka kiwanja cha kutua helicopter/chopper/ndege ndogo! Tafakari ni nani mzalendo kwani hata Mzee Ruksa hakuweka airport Kwake Michenzani!
Sisi tukusaidiaje!!View attachment 1944399
Jengo la TANESCO Chato, wilaya yenye wakazi 28,000 tu, ni kubwa kubwa kupitiliza.
Wilaya ya Temeke ina wakazi milioni moja na nusu, lakini hakuna jengo la kutisha na huduma inaendelea.
Hizo ndio zilikuwa sera za upendeleo maalum Chato, alizoanzishwa na Mwendazake na henchman Kalemani.
Kwa hili kwa kweli Kalemani ashitakiwe kwa uhujumu uchumi na matumizi mabaya ya madaraka.
Ukweli hata Mwendazake inabidi aingie posthumous trial.Rais Mstaafu Mkapa alikuwa Rais kwa miaka 10 lakini hakuna hata airstrip ya kutua ndege ndogo wala chopper Masasi kwake! Baba wa taifa alikuwa Rais kwa miaka 23 lakini kijijini kwake hakuwahi kuweka kiwanja cha kutua helicopter/chopper/ndege ndogo! Tafakari ni nani mzalendo kwani hata Mzee Ruksa hakuweka airport Kwake Michenzani!
Wezi, wahujumu na mafisadi mnawasaidieje?Sisi tukusaidiaje!!
Si alikua anafuata maagizo toka juu, jamani hivi serikali ya mwendazake mnaisikia au mnakijua?View attachment 1944399
Jengo la TANESCO Chato, wilaya yenye wakazi 28,000 tu, ni kubwa kubwa kupitiliza.
Wilaya ya Temeke ina wakazi milioni moja na nusu, lakini hakuna jengo la kutisha na huduma inaendelea.
Hizo ndio zilikuwa sera za upendeleo maalum Chato, alizoanzishwa na Mwendazake na henchman Kalemani.
Kwa hili kwa kweli Kalemani ashitakiwe kwa uhujumu uchumi na matumizi mabaya ya madaraka.
Are you serious.....!?Wezi, wahujumu na mafisadi mnawasaidieje?
Kalemani ashitakiwe kwa matumizi mabaya ya madaraka.
Unapodhaminiwa madaraka ni mwiko kujilimbikizia vitege uchumi , tena visivyozalisha kwenu.Are you serious.....!?
Ujinga mpya huo jengo la tanesco chato jipya lifanane na jengo la tanesco kinondoni lililojengwa mwaka 1967 ujinga gani huo na lengo ni kutengeneza mkoa wa chato umshitaki kalemani kwa lipi? kawekwa makamba subilini ujanja na mipango kama kawaida.Kama mwendazake alivyovunja jengo la TANESCO Ubungo bila sababu yoyote.
Lakini kama funzo Kalemani ashitakiwe kwa matumizi mabaya ya madaraka.
Mjinga ni wewe unayetafuna kokoto kwa meno ya wenzio.Ujinga mpya huo jengo la tanesco chato jipya lifanane na jengo la tanesco kinondoni lililojengwa mwaka 1967 ujinga gani huo na lengo ni kutengeneza mkoa wa chato umshitaki kalemani kwa lipi? kawekwa makamba subilini ujanja na mipango kama kawaida.
Ile iliyosababisha ajali ya ngombe kugongwa na ndege?Sioni shida, ni namna ya kufungua mikoa ambayo imeachwa nyuma kimaendeleo.
Hata Pinda alijenga airport Katavi, kwa wkati ule ilionekana ni anasa ila kwa sasa ni uwekezaji mzuri.
Kuna ubaya gani kujenga jengo kama hilo Chato?
Usitufanye watanzania wajinga.Ujinga mpya huo jengo la tanesco chato jipya lifanane na jengo la tanesco kinondoni lililojengwa mwaka 1967 ujinga gani huo na lengo ni kutengeneza mkoa wa chato umshitaki kalemani kwa lipi? kawekwa makamba subilini ujanja na mipango kama kawaida.