Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Aliamuriwa ajenge na mwenda zake,kesi imekwisha.Naunga mkono hoja.
Huu ni ufisadi.
Kalemani ashitakiwe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliamuriwa ajenge na mwenda zake,kesi imekwisha.Naunga mkono hoja.
Huu ni ufisadi.
Kalemani ashitakiwe.
True, but angekuwepo na yeyeili ashitakiwe.Ndio maana wakamtungua kabla hajaharibu nchi
Katika kesi za Nuremberg 1946, wauaji wa Hitler walitumia utetezi kama huo.Aliamuriwa ajenge na mwenda zake,kesi imekwisha.
Mnawivu eti Kila kitu Dah.We mjinga nini, nawe ushitakiwe kwa kushindwa kufikiri.
AwafikiChato nzima Ina raia waziozidi 360,000
Nb: hao Ni raia wote wazee,watoto,vijana n.k
Sio watumiaji umeme.
Jitayarisheni, agiza vifaranga mfugie kuku humo.Kwani jengo ndio linazalisha umeme?
Wivu tu.
Kutumia fedha bila kibali cha bunge ni uhujumu uchumi.Bora jengo Kama Hilo huko chato. Ipo siku litatumika
Sio kujilimbikizia Mali Kama familia za baadhi ya marais
Lazima lisimame tena imara.Jitayarisheni, agiza vifaranga mfugie kuku humo.
Ametumia kufanya Nini.Kutumia fedha bila kibali cha bunge ni uhujumu uchumi.
Kalemaninkweli ashitakiwe.
Kutumia fedha bila kibali cha bunge ni uhujumu uchumi.Bora jengo Kama Hilo huko chato. Ipo siku litatumika
Sio kujilimbikizia Mali Kama familia za baadhi ya marais
Hela ya serikali si utashi wa mtu.Ametumia kufanya Nini.
Tz hii Kuna wezi na mafisadi wangap wanatumia pesa za serikali kwa matumbo yao?
Bora hata huyo amejenga kwa akili ya umma !! Mimi kwangu sio tatizo.
Tatizo ni wale wanajenga Mali zao binafsi
Hakuna shida ukifaidi kwa pesa yako.Mnawivu eti Kila kitu Dah.
Acheni Chato nao wafaidi
EeeeHeee!View attachment 1944399
Jengo la TANESCO Chato, wilaya yenye wakazi 28,000 tu, ni kubwa kubwa kupitiliza.
Wilaya ya Temeke ina wakazi milioni moja na nusu, lakini hakuna jengo la kutisha na huduma inaendelea.
Hizo ndio zilikuwa sera za upendeleo maalum Chato, alizoanzishwa na Mwendazake na henchman Kalemani.
Kwa hili kwa kweli Kalemani ashitakiwe kwa uhujumu uchumi na matumizi mabaya ya madaraka.