Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
Maon Yako yanafanyiwa kazNabii wa kweli huwa si muoga, kile anachooneshwa lazima akawajulishe watu wa usalama na sio watu wa usalama wasubiri nyuzi za jf ndio wachukue hatua.
Jitahidi mpendwa ufikishe ujumbe kwa afande Muliro utaokoa wengi wasiathirike na majanga.