Jengo la Wizara ya Ulinzi mjini Moscow lachomwa moto

Tutaongea lugha moja hivi karibuni....

A fire has broken out in the Defence Ministry building on Znamenka Street in the centre of Moscow.

Source: Russian Kremlin-aligned news outlet TASS, citing emergency services

Details: One of the buildings of the Russian Defence Ministry at 19 Znamenka Street is reportedly on fire. The fire has been rated second out of five possible levels of difficulty.
Emergency services are working at the scene.

Telegram channel 112 has posted footage of smoke over the Defence Ministry. According to the channel, the source of the fire is located in an office on the fifth floor.

Nimeiona hii habar Daily Mail naona watu wanaandaliwa kwa mapokeo ili wajue kwamba hata nyinyi hamko salama muda wowote mnaweza fanywa chochote na mahali popote hata zile sehemu nyeti za serikali
 
Sasa haya ya takbir yanakuja kujaje hapa?? Unayo yasema hapa ni totally incoherent - sometimes huwa najiuliza kama huko mentally sound.
Huyu jamaa dishi limeyumba mkuu nenda nae taratibu asikuumize kichwa,, hayo ndio majibu yake utadhani labda huyu mrusi ni muislam
 
Moshi umetokea mweupee ama mweusiii ? ... ka mweusi itakuwa wameamua kuchoma matairi ya magari kutuzugaa tuu
 
Tutaongea lugha moja hivi karibuni....

A fire has broken out in the Defence Ministry building on Znamenka Street in the centre of Moscow.

Source: Russian Kremlin-aligned news outlet TASS, citing emergency services

Details: One of the buildings of the Russian Defence Ministry at 19 Znamenka Street is reportedly on fire. The fire has been rated second out of five possible levels of difficulty.
Emergency services are working at the scene.

Telegram channel 112 has posted footage of smoke over the Defence Ministry. According to the channel, the source of the fire is located in an office on the fifth floor.

Anazungukwa puti kwa sasa! Na ameshajaa kwenye sight bado kuminya Trigger!
Muda Utasema....
4246b121d2dc949b8f082c5f57840a3b_XL.jpg
dangerous-armed-man-pointing-hand-260nw-749776249.jpg
 
Attachments

  • dangerous-armed-man-pointing-hand-260nw-749776249.jpg
    dangerous-armed-man-pointing-hand-260nw-749776249.jpg
    10.9 KB · Views: 1
Tutaongea lugha moja hivi karibuni....

A fire has broken out in the Defence Ministry building on Znamenka Street in the centre of Moscow.

Source: Russian Kremlin-aligned news outlet TASS, citing emergency services

Details: One of the buildings of the Russian Defence Ministry at 19 Znamenka Street is reportedly on fire. The fire has been rated second out of five possible levels of difficulty.
Emergency services are working at the scene.

Telegram channel 112 has posted footage of smoke over the Defence Ministry. According to the channel, the source of the fire is located in an office on the fifth floor.

Kichwa cha habari hakilingani na tukio lenyewe. Hakuna jengo lililoungua. Kuna moshi ulionekana ukifuka kutoka sehemu fulani ya jengo na warusi wenyewe wameshasema ilikuwa ni moto uliosababishwa na birika la umeme na umeshazimwa.
Jengo lililoungua haliwi kama hivi.
4c1b06f4bba58ec22194acdbb1df615f
 
Sasa haya ya takbir yanakuja kujaje hapa?? Unayo yasema hapa ni totally incoherent - sometimes huwa najiuliza kama huko mentally sound.

Hehehe hilo jengo limewauma utadhani ni msikiti umetiwa kiberiti kwa ambavyo mnafyatuka....safi sana na yatachomwa mengi tu.
 
Kichwa cha habari hakilingani na tukio lenyewe. Hakuna jengo lililoungua. Kuna moshi ulionekana ukifuka kutoka sehemu fulani ya jengo na warusi wenyewe wameshasema ilikuwa ni moto uliosababishwa na birika la umeme na umeshazimwa.
Jengo lililoungua haliwi kama hivi.
4c1b06f4bba58ec22194acdbb1df615f

Huo moshi utakua wa Mrusi anavuta sigara humo....hehehe umenikumbusha meli ya Moskov mlisema mvuta sigara kasababisha izame..
 
Bila Shaka mtashinda mdomoni hiyo.....hujui what is going on on the ground huko Ukraine...unadhani Macron amependa kwenda huko China?! Au unadhani kile kibibi Cha EU nacho kimependa kwenda China?! Au unadhani hugo Zele wenu anafanya Nini huko Poland...poleni?!
 
Back
Top Bottom