Harvard
Member
- Mar 29, 2023
- 56
- 61
Oya unatuletea habari zako zisizo na ukweli kisha unahamisha mada kwenye imani za watu, wali sio vyema, kumbuka hii forum pana watu wazima humu ndani.Hehehe hilo jengo limewauma utadhani ni msikiti umetiwa kiberiti kwa ambavyo mnafyatuka....safi sana na yatachomwa mengi tu.
Ndiyo maana mwanzo nikasema huenda ukawa na Classical Symptoms za "Schizophrenia"..ushabiki usikuathiri sana.