eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Kama ilivyo kawaida, kwa mara nyingine tena jengo lamoromoka kenya na kuua watatu. Majirani, mtaacha mpaka wafe wangapi ndiyo mdhibiti majanga haya?
Wanasema hilo jengo ni jipya kabisa. Tangu liishe halina hata mwezi mmoja. Swali langu, kwa mara nyingine, hali hii itasubiriwa mpaka iue wangapi ndiyo idhibitiwe?
Chanzo: ITV habari saa 2 usiku tarehe 31/08/2021